Recent content by tempo_user1

  1. tempo_user1

    JamiiForums Tanzania Kizazaa cha fedha za Kampeni Lowassa, CHADEMA na UKAWA

    Nadhani povu zitaendelea kuwatoka!
  2. tempo_user1

    JamiiForums Tanzania UKAWA yasambaratika Arusha, CCM washangilia

    Mbona ma-ccm mnajitetemesha na hoja za ajabu ajabu! Nani kasema Cuf wamemwachia Chadema jimbo huko Unguja!?! Jimbo linalozungumziwa hapa Cuf hajawahi kushinda tangu kuanzishwa kwake! Hata katika uchaguzi mkuu uliopita Chadema walishika nafasi ya pili! katika hali hiyo inawezekanaje cuf awe...
  3. tempo_user1

    JamiiForums Tanzania Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

    She cannot take it! ha ha haaaaa!
  4. tempo_user1

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Shibuda nae kajaa tele! sasa huyu nae mzee wa DSM au mzee wa Shinyanga?
  5. tempo_user1

    JamiiForums Tanzania Pata Sheria mbalimbali za Tanzania bure hapa!

    Wadau, nahitaji kufahamu ni wapi (katika mtandao upi) naweza kupata sheria mbalimbali za nchi yetu kwa ukamilifu wake. Mara nyingi kumekuwa na utamaduni wa kunukuu vifungu vya sheria fulani fulani na hii mara nyingine inatunyima fursa ya kuzifahamu sheria hizi kwa ukamilifu wake kimahudhui...
  6. tempo_user1

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

    Angalia kwa makini video hii na pia sikiliza kwa makini interview ya Karume, Okello na Babu kisha tafakari ni vipi Karume anaitwa kiongozi wa mapinduzi, inashangaza sana!
  7. tempo_user1

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa teknolojia waichambua video ya Lwakatare, baadhi wadai ni halisi!

    chuo cha "Dar es salaam Information Technology" ndio kiko wapi hicho?
  8. tempo_user1

    JamiiForums Tanzania Salma Kikwete Cheo chake ni kipi kikatiba?

    alianza taratibu before 2010, mara tukamuona anamfanyia kampeni mumewe kwa kutumia magari ya serikali na ndege ya serikali! mara kaingia kwenye nec ya ccm, sasa anafanya ziara za kiserikali na anawakalisha kitimoto wakuu wa mikoa na kamati za ulinzi na usalama mikoani! mara tutamsikia ni mgombea...
  9. tempo_user1

    JamiiForums Tanzania Mama Salma Kikwete awasili Mkoani Rukwa kwa Ziara ya Siku Tatu... Pichani akiwa IKULU ndogo

    Kwani mmesahau JK alishasema Urais ni suala la familia? Rejea JK alipokuwa akimkabidhi Ridhiwani makabrasha ya kwenda kusaka wadhamini mwaka 2010!
  10. tempo_user1

    JamiiForums Tanzania Serikali, Wenye Hisa za NICOL ndio wameliwa au...?

    Ni majuzi tu NICOL walishinda kesi na kuruhusiwa kutumia ofisi zao ambazo awali zilikuwa zimezuiwa, na mwenyekiti wa bodi ya Nicol ndugu Felix Mosha aliutangazia umma kwamba NICOL imeongeza faida mara tatu, na pia akaahidi kuitisha mkutano wa wawekezaji wa NICOl, naona miezi inaendelea kupita...
  11. tempo_user1

    JamiiForums Tanzania Dr.W.Slaa asipopitishwa na (CHADEMA) KURA YANGU WAMEIKOSA

    Hii hoja hapa si mahali pake, utafiti wako ingekuwa bora unge-present katika vikao vya uteuzi vya chama chako wakati utakapofika, kama unakipenda chama chako tafadhali tangaza sera kwa sasa!
  12. tempo_user1

    JamiiForums Tanzania Urais wa Zitto 2015 ni kwa tiketi ya CHADEMA - Habib Mchange

    Watu wenye upeo finyu huishia kujadili watu badala ya kujadli masuala! kwa siasa hizi nyepesi nyepesi za kunadi watu kwa ajili ya kupata mkate wa siku (kumtumikia kafiri ili upate mradi wako!) ndio maana hata vyama vya upinzani havifanikiwi! upuuzi huu wa kumnadi mgombea (wakati hakuna uchaguzi...
  13. tempo_user1

    JamiiForums Tanzania Maelezo binafsi ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe dhidi ya tuhuma za rushwa kwa Umma

    Hotuba kama hii aliyoitoa ZZK siwezi kuitofautisha na utetezi wowote ambao ungeweza kutolewa na mtu yeyote eidha awe ana makosa au hana! ametumia sana "vague sentences" ambazo kwa akina sie hazitusaidii sana! Ningetegemea katika press conference ile angejaribu kupiga specific issues...
  14. tempo_user1

    JamiiForums Tanzania Zitto ni maporomoko ya mto Nile - hayazuiliki kwa kifusi!

    Hili ni tatizo la haka kaugonjwa ka wanasiasa wetu kujiandikia habari na kuzipeleka kwenye vyombo vya habari kwa jina la mtu mwingine! Ni kaugonjwa kabaya sana maana kanafichua uchu halisi wa wanasiasa wetu! kuna msemo wa kiswahili usemao "Chema chajiuza - kibaya chajitembeza" ndio haya...
Back
Top Bottom