Dr.W.Slaa asipopitishwa na (CHADEMA) KURA YANGU WAMEIKOSA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr.W.Slaa asipopitishwa na (CHADEMA) KURA YANGU WAMEIKOSA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Apolinary, Oct 12, 2012.

 1. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Hayo ni baadhi ya maneno na kauli za wananchi wa maeneo mbalimbali nchini. Ikiwemo Dar,Mwanza,Tabora. Kigoma,shinyanga, singida, manyara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga. Mbeya, Iringa, Dodoma, Sumbawanga, Morogoro, Mtwara, nk. Katika mikoa hiyo watu saba kati ya kumi wanadai katibu mkuu wa chadema taifa asipopitishwa na chama chake 2015 katika uchaguzi mkuu.

  Basi kura zao watatoa kwa chama kingine. Kwa kile wanachokiita uadilifu wa kiongozi huyo na msimamo(standpoint) wa kiongozi huyo wa chama cha demokrasia na maendeleo ambaye amekuwa akifanya kazi ya ziada katika maeneo mengi nchini. Kwa elimu ya uraia pamoja na serikali kwa ujumla kitu ambacho ni nadra sana kwa kiongozi mwingine ndani ya cdm.

  Wakizungumza na wawakilishi wa shirika la utafiti wa wa save the childrens tanzania bwana haroun mafuru mkoani lindi wiki ,alisema Ni vizuri kwa wananchi na jamii kwa ujumla kuamua ni nani wanataka kumtuma akawatetee katika taifa lao. Na vile vile si dhambi kuonyesha ni nani wanayempendeza awe rais wao
  Dr Slaa ambaye amebalisha sura ya Upinzani nchini Tanzania kwa kuwa na Msimamo mkali kuhusu fedha za umma, Ni miongoni mwa viongozi ambao wanaonekana kuwa kikwazo katika chama tawala.

  Baada ya vyama vya Upinzani kuungana na Kuunda Umoja Wa Katiba ya Wananchi(Ukawa) mnamo mwaka 2014.
  Ndani ya Umoja huo kunafanyika kazi ya ziada kuhakikisha hakuna mikwaruzano inayotokea hasa kipindi ambacho ni Muhimu zaidi kwa Tanzania pale itakapobadili Uongozi wa Nchi na Kuikabidhi Ukawa.

  stay tuned!
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mkuu hebu tulia, pumzika na kama kuna ka aisikirimu hapo jirani basi raha jipe mwenyewe tu. It is all about WHO THE CAP FITS MOST for Magogoni 2015. Kawaache wenye kujipitisha ovyo wakajishughulishe tu ila mwenye mwali wake katulia zake jiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!
   
 3. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,483
  Likes Received: 5,570
  Trophy Points: 280
  Sipendi unafiki hata mimi!!!!!
   
 4. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,797
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  hao kama wamesema hivo hawana maana, mwanachama na mpenzi wa chadema na mageuzi nchini anatakiwa akubali maamuzi ya kidemokrasia ya chama! kama kwenye kura za kupata mpeperusha bendera ya chadema akapatikana mtu mwingine ambaye sio Slaa hawaheshimu maamuzi hayo??mwisho wa siku inatakiwa chama kwanza mtu baadae!!
   
 5. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,031
  Likes Received: 3,226
  Trophy Points: 280
  Mi mwenyewe patachimbika.
   
 6. peri

  peri JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  kwa hiyo mbowe na jitihada zote za kukigharamia chama ndio mumtose?
  Mbowe kajitolea katika maisha yake yote kukitumikia chama, mpaka fedha zake binafsi kawekeza kwenye chama.
  Patachimbika ikiwa Cdm hawatompitisha mbowe.
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Apolonary well come to ze world of change
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. tempo_user1

  tempo_user1 Senior Member

  #8
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii hoja hapa si mahali pake, utafiti wako ingekuwa bora unge-present katika vikao vya uteuzi vya chama chako wakati utakapofika, kama unakipenda chama chako tafadhali tangaza sera kwa sasa!
   
 9. m

  mnovatus JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 12, 2012
  Messages: 229
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Yeah mi mwenyewe namkubali Dr. Slaa for sure anaweza akaleta mabadiliko makubwa ktk uchumi wa nchi hii kama atashinda urais wa nchi hii! In dr slaa i trust!
   
 10. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mimi mwenyewe nitawapigia ccm kura
   
 11. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,925
  Likes Received: 1,853
  Trophy Points: 280
  slaa keshazeeka
  sasa zamu ya vijana
  mzito wa makabwela keshaonesha nia..
  :lock1::lock1::bump2:
   
 12. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #12
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbowe ni mzalendo sana kwa taifa letu, sijaona kiongozi wa upinzani kwa kujitoa kama freeman!
   
 13. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #13
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
   
 14. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #14
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hicho kinachosemwa sio masihara wadau, binafsi nimewasikia zaidi ya watu kumi wana misimamo hiyo!
   
 15. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #15
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,483
  Likes Received: 5,570
  Trophy Points: 280
  Kweli mkuu but Dr Slaa is the best presidential candidate!!!
   
 16. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #16
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mimi ni miongoni mwa hao kama Dr.slaa hatapitishwa nitapigia kula ccm hata kama wamsimamishe Lusinde au Nape huo ndo ukweli wangu toka Moyoni mwangu c mbowe wala Zzk ambaye anaweza akaufikia uadilifu wa Dr.slaa na misimamo yake! Dr.slaa ndiye atakaye tusaidia kuipata Tanzania tunayoitaka.
   
 17. z

  zamlock JF-Expert Member

  #17
  Oct 12, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  hapa raisi ni dk slaa tumuombe uzima kwa mwwnyezi Mungu
   
 18. z

  zamlock JF-Expert Member

  #18
  Oct 12, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  hapa raisi ni dk slaa tumuombe uzima kwa mwwnyezi Mungu, huku tukimuanda mnyika aje kushika nchi tena
   
 19. Root

  Root JF-Expert Member

  #19
  Oct 12, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,217
  Likes Received: 12,928
  Trophy Points: 280
  Jamani bado sana miaka mitatu hebu tutulie hadi muda ukifika

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 20. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #20
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Huwa napata shida sana pale tunapodhani taasisi haiwezi kuishi bila mtu mmoja.

  Ingawa naamini Daktari ni kiongozi mahiri, ni lazima CDM iwe mahiri hata bila Daktari vinginevyo mnataka kutupigia nyimbo (zidumu fikra) ile ile isipokuwa mdundo ndo tofauti!
   
Loading...