Recent content by TEMLO DA VINCA

  1. TEMLO DA VINCA

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia anaidharau sana serikali ya awamu ya sita, Kiburi chake kinatisha

    Huyo tutadeal nae after 15 June akiikata yanga point wallah hatakuja kusahau maisha yake yote
  2. TEMLO DA VINCA

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Vyombo vya ulinzi na usalama msiruhusu watovu wa nidhamu (wanaharakati) wa nchi nyingine kuja kutovuka nchini

    Kwa mambo yalivyo sasa hata nchi ikivamiwa na adui nauhakika wananchi watasaidia wavamizi... Atleast viongoz wangekua wanatutendea mema tungekua na nguvu hata za kuwatetea.. Sasa wao wanaharibu nyumbani unadhan nani atahangaika kuonesha uzalendo wakati hawatujalii.. mi naomba mungu tusipate...
  3. TEMLO DA VINCA

    JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga tayari ameshawekwa sawa alipokwenda Dodoma

    Amka wee jamaa usije kojoa kitandani
  4. TEMLO DA VINCA

    JamiiForums Tanzania Bunge letu ni kubwa ukilinganisha na Mabunge ya wafadhili wetu

    Hamtaki kuambiwa ukweli wakati misaada yao mnashobokea?? Au mnadhani wazungu wataogopa vimikwara vyenu vya kishambaa
  5. TEMLO DA VINCA

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

    Shaymaa vp ankoo daa
  6. TEMLO DA VINCA

    JamiiForums Tanzania Jesca Magufuli ni mtu ambaye analazimisha Mfumo umbembe wakati hana uwezo wa kiuongozi, CCM stay alert!

    Kwani kasema anataka kugombea???? Mchawi sio lazma avae hirizii
  7. TEMLO DA VINCA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Muache mfe njaa??
  8. TEMLO DA VINCA

    JamiiForums Tanzania Cheapest countries to travel to in 2025: Tanzania hatumo, tunakwama wapi?

    Kwan wageni wamekatazwa kutumia hivyo vitu cheap vya wazawa.... Kwani humu jf siku hiz kumekuaje mbona people zmekua vilaza sanaa
  9. TEMLO DA VINCA

    JamiiForums Tanzania Cheapest countries to travel to in 2025: Tanzania hatumo, tunakwama wapi?

    Yaan unacompare rwanda na zanzibar????? Jf kweli imekua ya vilaza siku hizi... Sasa rwanda kuna wageni gani wa kuizidi zenji??? Ñdio madhara ya kuviacha vimtu vya rwanda hapa tz yaan ni utumbo tu vnaongea
  10. TEMLO DA VINCA

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na CHADEMA kama chama, sikiliza ushauri huu wa Ansbert Ngurumo

    Shida hata chadema wasiposhiriki uchaguzi ccm wataleta tule tuvyama twao tunavyofufuka kipindi cha uchaguz ili kudanganya dunia kuwa tz kuna uchaguzi wa vyama vingi... halafu hapo chadema wanakosa kila kitu no wabunge no nini then ccm wanaendelea na mambo yao kama 2020 tuu
  11. TEMLO DA VINCA

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa kumtetea Rais MAGUFULI (RIP) ni ngumu sana sawa na kuwatetea Single mother kulivyo na ugumu

    Uloaandika hii thread wote mmetumwa nyie msitufanye wajinga nyyoko zenuu
  12. TEMLO DA VINCA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Maadmin walipige ban tuuu ka anapendq hizo # zake aende jukwaa la siasa
  13. TEMLO DA VINCA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hilo jamaa m nililiignore muda mrefu sana yaan lipo ka wamelilogezea aseee, hadi huruma
Back
Top Bottom