Rais Magufuli atakuwa anaanza kumuelewa. Hata huo ubalozi akipewa nchi uhusiano wetu na nchi hiyo unaweza kuvunjika maana duh... kauli zake... waulize watu wa TRA.
Na Duh ufisadi wake akiwa TRA alifunga viwanda vya matofali Mbezi kwa kisingizio cha kudai kodi ili kibaki kiwanda cha mke wake...
Mbunge wa jimbo la Muleba Kusini Profesa Anna Tibaijuka
Tukio hilo limetokea leo majira ya asubuhi muda mfupi baada ya Profesa Tibaijuka kufungua mkutano wa Kimataifa unaohusu upatikanaji wa majisafi na usafi wa mazingira, mkutano unaoendelea jijini Dar es Salaam ambapo yeye alikuwa mgeni rasmi...
Sasa ufisadi wake unaingiaje wakati kesha sema toka mwanzo na ukumbuke alikua mtu wa kwanza KUKUBALI hadharani kuwa kweli alipokea mchango na alipewa mchango kwa ajili ya shule,maelezo gani uliyataka??hao wengine hawana maelezo ndio mana mpaka leo wako kimya kwasababu hawakua na sababu ya...
UJUE HAYA YOTE YANATUONESHA JAMBO HAPA,HUYU MAMA NI DHAHIRI HAUSIKI KABISA NA JAMBO HILI,KAMA ANGEKUA MUHUSIKA KAMA HAO WA STANBIC AMABO HATA MAELEZO HAWANA YA WALICHUKUA PESA HIZO KWA KAZI GANI,BASI TUNGE MSIKIA AKIKAA KIMYA LAKINI ANAZIDI KUSISITIZA HILI WA TZ TUONE MCHEZO UNAO ENDELEA
ALAFU...
Yeye hana mamlaka kuwataja ila mpaka hapo ametuonesha kuwavyombo vyetu hakuna lolote vina fanya kazi kwa kutumiwa tu hawafati sheria na utaratibu unavyo wataka kusema,haiwezekani watu wachote pesa huko BOT alafu waje kuwababmbikizia watu huku downstream,kibaya zaidi zilizo gawiwa mkombozi tena...
Sasa ulitaka mama Tibaijuka alipe kodi ya nini hapo ama biashara gani au kazi kani??kwanza unaelewa maana ya kodi??uliwahi kuwa kwenye kamati yoyote ya harusi na kukushanya michango??uliwahi kulipa kodi ktk michango iyo??
Kodi una itafsiri vp labda
Kama vyombo husika kama mahakama,TAKUKURU mpasa sasa havijasema chochote juu ya huyu mama na ndio vyenye mamlaka yaku prove kama tuhuma ni za kwel hama la,basi yanayo endelea juu ya mama huyu ni TUHUMA ZA KIPUUZI,na zinapaswa kudharaulika,ila zaidi naona unyanyasaji tu.
Ruge angetaka kusaidiwa...
Tuhuma kamwe haziwezi kuhalalisha kosa la mtu,vipo vyombo vya sheria na taasisi ambazo zina mamlaka hizo ,na kama mpaka sasa hazijasema chochote juu yake,basi kweli nakubaliana nae kinacho endelea ni TUHUMA ZA KIPUUZI.
Wote walio pata mgao wa Ruge aliwapa kwa utashi na wake hakuna alie fanya...
Nimesikiliza mahojiano ya Profesa Anna Tibaijuka na AYO TV live. Kumbe kilichopostiwa JAMII FORUM ni uongo kabisa na cha kupuuza. Ni upotoshwaji mkubwa na propaganda kwamba Tibaijuka amemkosoa Rais Magufuli. SIYO KWELI. ON THE CONTRARY Profesa anamsifia sana Rais Magufuli kwa azma yake ya...
Emma Kaisi
Taifa Imara online
Akiwa Waziri wa Ardhi, Mhe Profesa Anna Tibaijuka alikataa kuidhinisha mshahara wa Mkurugenzi wa NHC alioudai wa Dola za kimarekani 19, 500 kwa mwezi sawasawa na Shs milioni arobaini kwa mwezi Bodi ya Zhakia Meghiji liridhia lakini Tibaijuka akaikatalia kuwa...
Kashifa ya ESCROW ilitoa faida moja ya kutuonyesgha tulivyokuwa taifa la wanafiki na kimsingi uelewa mdogo wa siasa,walio pewa mgao ulio kwapuliwa bank kuu ndio tunawaita wapiga dili.Walio piga dili na kukwapua pesa hizo kutoka bank kuu tuko kimya,hivi ni ujinga?au chuki binafsi kwa watu walio...
Hili ndilo tatizo kubwa sana kwa wahaya,kupenda kuonesha unafiki wao hadharani.
Nani tanzania hasiyejua kuwa zigo la escrow wamebebeshwa wahaya??
Ingekua imetokea kwa wachaga au wapemba,mambo yangekua tofauti kabisa,ccm pasinge tosha.
Ha ha ha Mdee amelipwa fadhira yavkazi aliyo fanya bungeni mwezi wa tano akitumwa na mchechu kumdhibiti waziri wake....kweli siasa ni mchezo mchafu sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.