Lukuvi atembelea eneo la ubomoaji wa jengo la ghorofa 16, Aridhishwa na kasi ya ubomoaji

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,531
lukv1.jpg

Waziri wa Ardhi, Mhe. William Lukuvi akiangalia maendeleo ya kazi ya ubomoaji wa jengo la ghorofa kumi na sita (16) ambapo ameridhishwa na hatua iliyofikiwa ambapo kwa sasa zimebaki ghorofa sita (6) tu.
lukv2.jpg

Mafundi wakiendelea na Ubomoaji wa jengo la ghorofa kumi na sita (16) ambapo kwa sasa zimebaki ghorofa sita (6) tu

HAPA KAZI TU,Sheria lazima zifutwe
 
Video kuvunja jengo sehemu iliyo finyu katikati ya jijini, changamoto, kupatia, ajali : Tazama

TOP 30 BEST Implosions Explosion Compilation --Best Building Demolition Compilation

Source: Claudia Tudosa
 
Hao vibarua, technicians na engineers wanaofanya kazi hii ya ubomoaji kwa kutumia nyundo,mundu, mikono wana bima za maisha na mkakati wa kuzuia ajali wakati zoezi hili likiendelea?
 
Tokea Lukuvi atangaze hawawezi kuitoa Zanzibar kwa sababu za kidini siwezi kumsamehe, namaanisha siwezi kumsamehe
 
lukv1.jpg

Waziri wa Ardhi, Mhe. William Lukuvi akiangalia maendeleo ya kazi ya ubomoaji wa jengo la ghorofa kumi na sita (16) ambapo ameridhishwa na hatua iliyofikiwa ambapo kwa sasa zimebaki ghorofa sita (6) tu.
lukv2.jpg

Mafundi wakiendelea na Ubomoaji wa jengo la ghorofa kumi na sita (16) ambapo kwa sasa zimebaki ghorofa sita (6) tu

HAPA KAZI TU,Sheria lazima zifutwe

sheria haikufuatwa katika ujenzi wa jengo, kwa inamaanisha mamlaka husika hazikuona mapema ndo maana wanabomoa wakati jengo imeshasimama,

Kama sheria ingefuatwa jengo lisingebomolewa kwa sababu lisingejengwa kwakuwa ujengaji ungekiuka sheria. Kwahiyo kuliko kuingia gharama + hatari zinazoweza kutokea kutokana na ubomoaji bora mamlaka husika zingesitisha au kuacha kutoa kibali cha ujenzi mapema sana Hapo ndiyo tuseme sheria imefuatwa ipasavyo.
 
lukv1.jpg

Waziri wa Ardhi, Mhe. William Lukuvi akiangalia maendeleo ya kazi ya ubomoaji wa jengo la ghorofa kumi na sita (16) ambapo ameridhishwa na hatua iliyofikiwa ambapo kwa sasa zimebaki ghorofa sita (6) tu.
lukv2.jpg

Mafundi wakiendelea na Ubomoaji wa jengo la ghorofa kumi na sita (16) ambapo kwa sasa zimebaki ghorofa sita (6) tu

HAPA KAZI TU,Sheria lazima zifutwe
Hilo jengo ni la nani?
 
Hao vibarua, technicians na engineers wanaofanya kazi hii ya ubomoaji kwa kutumia nyundo,mundu, mikono wana bima za maisha na mkakati wa kuzuia ajali wakati zoezi hili likiendelea?
Ni kweli ilitakiwa ifanyike tathmini ya hatari za ajali na mazingira na kuweka mikakati ya kuhakikisha ajali au athari hizo hazitokei kwa wafanyakazi wanaobomoa jengo hilo na wapita njia kwa ujumla.OSHA wako wapi?Maana ukiangalia wafanyakazi wanaobomoa jengo hawana hata vifaa vya kujikinga dhidi ya usalama!
 
Tokea Lukuvi atangaze hawawezi kuitoa Zanzibar kwa sababu za kidini siwezi kumsamehe, namaanisha siwezi kumsamehe
Si afadhali hata Lukuvi alisema wazi akajulikana kuliko wanafiki ambao hawakusema na ndicho wanachokifanya kwa sasa
 
lukv1.jpg

Waziri wa Ardhi, Mhe. William Lukuvi akiangalia maendeleo ya kazi ya ubomoaji wa jengo la ghorofa kumi na sita (16) ambapo ameridhishwa na hatua iliyofikiwa ambapo kwa sasa zimebaki ghorofa sita (6) tu.
lukv2.jpg

Mafundi wakiendelea na Ubomoaji wa jengo la ghorofa kumi na sita (16) ambapo kwa sasa zimebaki ghorofa sita (6) tu

HAPA KAZI TU,Sheria lazima zifutwe
Wanaliachia ghorafa sita .maana si alikuwa na kibali cha ghorafa sita.au ?? Wanalimaliza lote kubomoa ?
 
Na yale mawili kati ya hayo moja liliua enzi za Mama wa fedha ya mboga kule kisutu yaliishia wapi
 
Back
Top Bottom