mwallu
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 6,787
- 4,217
Unene na pelile gete ukwanuko, nali kunu ng'wa Obama naligema maisha gangi.
Yeeee..uyudu ponegeja ma dolali shi sezae
Unene na pelile gete ukwanuko, nali kunu ng'wa Obama naligema maisha gangi.
Yeeee..uyudu ponegeja ma dolali shi sezae
mchechu ni moja wa maceo wazuri kabisa waliopo hapa tz leo labda na yule jamaa wa tpb mwacheni afanye kazi
mchechu ni moja wa maceo wazuri kabisa waliopo hapa tz leo labda na yule jamaa wa tpb mwacheni afanye kazi
formative years zake zimeshapita, ukikulia katika mazingira yetu ya kibongo na work ethics zetu hizi za ujamaa na kuvumiliana hauwezi kubadilika ukubwani kwa exposure za kusafiri safiri, haiwezekani. Jakaya Kikwete angekuwa the best president in Afrika kama angekuwa anajifunza kwa exposure ya kusafiri safiri, maana JK ana air miles nyingi kuliko ma pilot wa KLM . Tayari formative years zao zimeshapita.:becky::becky::becky::becky::becky: Labda ndio maana ameenda huko nje ili awe na viwango vya kimataifa...
Nikusaidie kidogo reforms za NHC zilianza siku nyingi, kumbuka sekta ya nyumba ilikuwa na THB NHC Msajili wa majumba na Nyumba za serikali chini ya ujenzi.
Reforms ya kwanza ilikuwa kudisolve THB iliyoonekana haifanyi vizuri, hili lilikuwa shirika la mwanzo kabisa kuchinjwa. Badae ikaja kuunganisha NHC na Msajili wa majumba na kuunda shirika moja la nyumba NHC. wakati ule fedha zote zilizokusanywa zilienda hazina kwenye general fund na badae NHC waliomba ruzuku kutoka serikalini.
Baada ya Magufuli kwenda wizara ya ardhi alibadili mfumo wa uendeshaji wa shirika hili kwa kulibadili na kuwa shirika linalojitegemea kwa kukusanya mapato na kuwekeza, pia alibadili viwango vya kodi ili viendane na soko na hatimae lijiendeshe kwa faida,
Magufuli alianzisha mradi wa property development kwa kushirikiana na private partners, huku kwetu yapo majengo kama saif plaza na mipa plaza, na ndo hayo majengo Mchechu kila siku anafungua as if ni fedha za NHC kumbe ni wafanyabiashara wamejenga katika viwanja vya NHC.
Baada ya magufuli kuondoka ardhi alikuja prof.tiba alimkuta tayari alishaanza kuyumba lakini baadae alimsimamia na akaanza tena kuperform chini ya usimamizi wa prof, sasa prof kaondoka ni dhahiri ameanza kupwaya, naamini prof angekuwepo asingefanya huu uzururaji. Kimsingi hakuna mantiki ya yeye kuwa na msururu wa wabunge huku na huko sasa Lukuvi anafanyakazi gani? hao wabunge wakichachamaa bungeni hawatamhoji Mchechu watamhoji Lukuvi yale yale ya Nyalandu na Nundu pale uchukuzi.
Nadhani hatuelewani kwa jambo dogo tuu kamati ya wabunge na waziri wa ardhi na makazi kwenda nje ya nchi kwenye ziara ya kikazi ni sawa kweli? huyo ceo wako sijamgusa
ha ha ha mdee amelipwa fadhira yavkazi aliyo fanya bungeni mwezi wa tano akitumwa na mchechu kumdhibiti waziri wake....kweli siasa ni mchezo mchafu sana
Ulisha wai ona wakizunguka namna hii wakiwa na Tibaijuka, kwenda kwenye ziara za mafunzo. Sana sana ziara wakati wa tibaijuka zilikuwa kutafuta fursa za uwekezaji tu. Hivi kuna sababu gani ya kuchagua CEO halafu azunguke tena kufanya mafunzo ni skills zipi tuliangalia kabla ya kumteua leo watuambie wanaenda ziara za mafunzo. Hivi vitu vina make sense ndani ya Tanzania tu.
Halafu mbona awaweki tena financial report mpya it is 2015 hiko wapi report ya 2014?
Huyu jamaa kilicho msaidia ni ongezeko la kodi ya adhabu kwa wapangaji tu, lakini hakuna creativity kodi ndio kidogo ina msaidia kwa sasa kuonyesha shirika lina faida, new valuation ya assets zao, na assets ambazo bado awajauza; lakini miradi ni bomu kama alivyo CEO.
Nyumba zao za kule dodoma jimbo la Ndugai raisi kaishia kudai halmashauri wazinunue. Sasa sijui halamashauri gani inayo miliki viwanja kama ina nia ya kukopa which will be cheaper for them kukopa kujenga au kukopa kununua NHC?
Paka akitoka panya utawala mshahara wa millioni 32 atapata na safari za wizara sijui kamati zitakuwepo kama hongo kwa tanzania maana yake business as usual, tunatabia ya kufuata mkumbo wa watu wabaya na kufukuza mawaziri walau wenye uthubutu, majungu mpaka mama wa watu kaondolewa.
Unafahamu sasa hivi kuna part buy part rent schemes na wewe ndie uliekuwa wa kwanza kuja hapa kutuambia nyumba zote zimelipiwa cash na zimeisha.
Hizi habari za part buy part rent zimekuja lini? au walidhani watu mapunguani wataji-commit na ma mortage ya ajabu tena yenye short life.
Ndio maana nikauliza ni ngapi zimenunuliwa na individuals kwa sasa? naona longo longo isitoshe hipo wapi financial report yao iliyo hakikiwa na CAG ya mwaka jana. Naona mmkezana tu he is genious, he is genious sasa kama unakopa kwa sababu ya kujenga si utajenga tu.
Je return inarudi kama ilivyo pangwa awali au kwa sasa kuna new strategy to shift kwanza zile zilizozagaa kwa namna zingine and how is this in-line to earlier debt commitment.
Jibu kwanza hayo walau tuendelee vinginevyo stick na uvuvuzela.
Wivu wangu sijui hupo wapi wakati na mimi ni stakeholder wa hilo shirika kama alivyo raia mwengine wowote.Nyie wahaya mna chuki binafsi, husuda na wivu kwa Nehemia Mchechu Kyando, mkinga mchapakazi. Mama Tibaijuka ameacha migogoro ya ardhi kila kona ya nchi wakulima na wafugaji wanauana. Kipindi cha uongozi wa huyo Mama wa Escrow ndo wakulima na wafugaji wameuana zaidi katika historia ya nchi hii, kashindwa kutatua, kashindwa kupima ardhi. Shirika pekee lenye mafanikio wizarani kwake Ni NHC kwa sababu ya Mchechu, ndio Tibaijuka kajivika hayo mafanikio ionekane yeye. WTF
Hujui unacho kiongea wanatoa quarterly performance au every six moths hivi unajua hata kanuni za mashirika yanayo uza hisa kwenye soko na majukumu yao kuonyesha mahesabu hili kutoficha sura halisi ya biashara na watu waweze fanya informed decision, mpaka wakikopa wanasema deni linaenda wapi hili werevu wajue kama biashara hipo hapo au vipi, this is why they have watch-dogs and announce profit or losses every now and then.We mhaya vipi wewe, Financial report ya 2014 unaiomba February 2015!!! Hata ya Apple au ya Google haijatoka unataka ya NHC. Kweli wivu Ni kidonda,,, kuwa objective basi uombe na ya NSSF, BOT, TRL, ATCL na Tazara
nakwambia hapo hakuna mtu. Toka yule mama msomi prof. Anna tibaijuka atoka katika wizara hiyo hakuna kinachoendelea tofauti na wizi mtupu
ccm haitaki wasomi hata kidodo haifai kuiongoza nchi kama wasomi wanaokubalika kimataifa wao wanawatosa na kuwadhalilisha basi ni dhahiri kuwa ccm haitaki wasomi wazuri km prof. Anna tibaijuka na prof. Muhongo ambao sisi watanzania tunawaitaji na kuwalilia mpaka kesho
abadili dini kwanza ndiyo aende kwa alhaji dau!!!!!!!aende kwa alhaji dau pale nssf akalishwe kitako aelekezwe kazi
kazi ni vitendo siyo maneno matupu haina maana
pesa za walalahoi zinapaswa kuwekezwa katika mambo yenye tija na yanayoonekana
abadili dini kwanza ndiyo aende kwa alhaji dau!!!!!!!