Recent content by Tembea

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinahitajika

    Dah ningepata cha mwanzo ingekua poa sana, nimetoka kidogo nikirudi Dar nitakuja kukiona
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinahitajika

    Bado kipo mkuu?
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tunachangia sana wanawake kuwa malaya

    Upo sahihi
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tunachangia sana wanawake kuwa malaya

    Tatizo mkuu huwa anakua na matarajio makubwa wakati unakuta hujawahi kumwambia jambo km hilo.
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake na wanaume mlioolewa na kuoa tusaidieni kwa hili

    Una hekima sana dada, MUNGU akupe kila unalolihitaji kea wema
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake na wanaume mlioolewa na kuoa tusaidieni kwa hili

    Unapenda sana pesa mtt wa kike
  7. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tunachangia sana wanawake kuwa malaya

    Inaonesha urikurupuka kwa aliye kuumiza, usikurupuke tena fanya uchunguzi yakinifu.
  8. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tunachangia sana wanawake kuwa malaya

    8. Kutaka mwanaume ahudumie ukoo wake wote 9. Kushobokea magari ya wanaume akidhani naye ana hisa nayo. 10. Kutaka uzungu naye aseme baby.
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tunachangia sana wanawake kuwa malaya

    Naongezea, mwanamke ukiisha mlala yeye anawaza kuolewa tu, kumbe lile ni burudani mlilokubaliana kupeana vikojoleo tu.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Naomba mnipokee

    Me jamani sioni option ya kupost, msaada wenu plz
  11. T

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Ndvyo watanzania tulivyo, kudhihirisha uliyoyaandika angalia mchango wao hapa, but imngekua skendo hii post ingekua na comments 1000, ila kwa kuwa ni ya kueleza ukweli hukuti mbongo hapa.
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utafiti: maoni ya wananchi juu ya uvaaji nusu uchi kwa wanawake

    Mume wako atakua ana tatizo km kweli anapenda unavyowakatisha wanaume shingo, namuonea hadi huruma.
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natamani kuwa na mpenzi

    Ina maana wenye 30+ wote wana elimu zaidi ya form six au hukumwelewa mleta uzi?
  14. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini hawa watu ni wagumu sana kusamehe

    si kweli
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kikao cha dharula: Kitimoto kwa wabunge wa CCM wanaopigia kelele Escrow

    Chunga kauli yako, jeshi halifungamani na chama, na ukuu wa wilaya au mkoa haufungamani na vyama, hata wanajeshi wenyewe hawapenfi haya maovu kuna mmojawao hataki hata kusikia wizi huu.
Back
Top Bottom