Kiwanja kinahitajika

Kiwanja kinahitajika

kipo st.joseph (goba kunguru) kina nyumba ya
kurekebisha ina umeme na eneo lakutosha!
hakina hati doc muhimu za makabidhiano na
serikali ya mtaa zipo! ukubwa wa eneo 20 * 25!
serious buyer ni pm! dalali hatakiwi!
 
Karibu kwa mwenye uhitaji Wa kiwanja Dar es Salaam,kipo Salasala-Kinzudi.Ukubwa mita 20x40, umeme upo na nguzo ya umeme iko jirani kabisa na kiwanja.Pamejengeka na nieneo linalokuwa kwa kasi.Hakijapimwa ila mchakato umeshanza tunapima wakazi Wa eneo kwa pamoja natumesha changa hela kwa hatua ya awali. BEI milioni 11.5
 
Bado kipo mkuu?
 
Dah ningepata cha mwanzo ingekua poa sana, nimetoka kidogo nikirudi Dar nitakuja kukiona
 
Jamaa amekwama mambo ya hela so ameghaili kununua hivyo kipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom