kichwadongo
Senior Member
- Sep 6, 2013
- 136
- 16
kuwa makini, mapenzi ya sasa ni wizi mtupu!
Imesalia miaka kadhaa hivi niwe na miaka thelathini,lkn sijui ni ushamba au ni matatizo yaliyo kithiri kiasi cha kushindwa kuwa na histori ya kuwa mpenzi hadi sasa,lakini kwa sasa nina hamu kubwa ya kuwa na mpenz. Kimsingi nimekulia mtaani kama chokoraa lakini nikawa na mtazamo tofauti na na watoto wengine wanao kulia mtaani fikra zangu zote ni kwamba niwe msomi hivyo nguvu na akili yangu yote ilikuwa nikutafuta namna ya kupata elimu rasmi, nimefanikiwa kuhusu hilo nimemaliza 4m 6 mwaka huu na nimefaulu natafuta mtu jinsia ke' wakuni sifia ninapofanya vizuri na kunitia moyo pale changamoto zinapo kua nyingi 'SINA NDUGU RASMI' ukihis tunaweza kusonga na haya maisha niujuze kwa namba hii
!!!! uwiiii yerewiiiiiiiiii yaani zambi kwa mtoto wa watuukugonga ugonge wewe!!!!
wakigonga wengine malaya!
olalaaaaaa!!! huyaaa!!
olalalaaaaa!!!!!
form swix una miaka swelaswini? thatha thijui.... hebu nije bwadae!
DU matangazo ya namna hii yamekuwa mengi mno humu ndani , nakushauri uyapeleke makanisani au misikitini ikibidi hata vituo vya mabasi.
heee hee heeeeeeeeeeee.
katika posts nlizoishiwa points aisee hii imenibamba.
God bless ur target dear
olalalaaaaa!!!!!
form swix una miaka swelaswini? thatha thijui.... hebu nije bwadae!
Labda Kasoma QT