Kanijia rafiki yangu asubuh hii na mapema nimshauri kwa yaliyomkuta usiku wa jana, wana jamvini kabla sijamshauri naomben mawazo yenu, yy ni hawara wa mume wa mtu sasa jana kulikuwa na harusi ambayo jamaa alipaswa kwenda na mkewe, wakati akimpa updates za yanayojiri harusin kupitia mtandao kwa...