Nafasi za kazi jumuiya ya afrika mashariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za kazi jumuiya ya afrika mashariki

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by tembaisdor, Apr 30, 2012.

 1. tembaisdor

  tembaisdor Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Jamani kwa yeyote anaejua kinachoendelea kuhusu kazi zilizotangazwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki zimeishia wapi, Please inform us kinachoendelea,
   
 2. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hii wizara huwa haipatiwi fungu la kutosha, inafika wakati waziri husika inambidi atumie pesa zake za mfukoni kuendesha kazi za wizara..... Kwahiyo suala la ajira mpya hapa ni story tu!!
   
 3. tembaisdor

  tembaisdor Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hiyo si Wizara ni Jumuiya ya Afrika Mashariki makao makuu Arusha,
   
 4. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,008
  Trophy Points: 280
  Acha Kukurupuka wewe, unaambiwa Jumuiya wewe unakuja na Wizara na Waziri!...kama huna cha kufanya nenda kafue ch..i yako
   
 5. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Vp kulikuwa na kidume kifuani nini, wakati unaandika huu uzi wako? Umeonyesha akili yako haina akili kabisa!
   
Loading...