Takukuru watawachunguza mawaziri watuhumiwa! Walikuwa wapi hadi mambo yanafika hapa?

Acheni wawasafishe ili CDM izidi kupeta. Riport ya Jairo ipo wapi?! Huenda ni mpango wa Mungu ya wao kuwapa wananchi hasira zaidi.
 
TAKUKURU TAKUKURU JAMANI HETI NAO WAPO! Hawa ni watu gani au ni nini? Wana JF siyo kuwa sijawahi kuwasikia la hasha, ila kwa kufanya mambo ya hovyo kiasi cha kusema kuwa hata Jairo hakuwa na kosa kwenye nyongeza ya mambo ya hovyo waliyokwisha fanya niliwafuta katika taasisi zinazotakiwa kuendelea kuwepo. Hivi huu ni ujinga gani heti wanataka kuwachunguza mawaziri! Hivi kweli? Napenda kuwafananisha na jibwa linalolishwa na kunenepeana linalokesha mlangoni kwa matumaini kuwa linalinda hivyo mwenye nyumba kulala kwa amani ndani. Lakini la ajabu jibwa lenyewe halishtuki pale wezi wanapokuja mpaka pale mwenyenyumba anapohisi au ona kuwa kunahatari na kuliamsha kwa kelele za wezi wezi ndipo nalolinashtuka huku likibweka kwa woga. Ukilisikia linabweka lenyewe ujue kuna mbwa wengine wamekaribia hivyo linahofia watakula chakula chake basi. Jibwa la namna hii la nini. Nauliza TAKUKURU ya nini jamani mpaka wengine wakamate ndipo uje kung'ata? Hamna maana kabisa. Kaa kimya wenye akiri wafanye kazi zao.
HOSEA HUNA AIBU NA NADHANI HATA KWENYE FAMILIA YAKO UTAKUWA UNADHARAULIKA KAMA WATOTO NA MKEO WANA UFAHAMU WA KUTOSHA.:embarrassed1: and :disapointed: also :Cry:
 
Swali la msingi linalotupasa watanzania tujiulize, ni je, kwanini hawa takukutu wanakuwa only reactive? Kwanini hawazuii huu wizi na ubadhirifu badala yake wanasubiri mpaka maafa yatokee ndio wanajifanya kuanza uchunguzi. Uchunguzi wa nini sasa? Sitashangaa nikisikia wamewasafisha mawaziri wote wanaotuhumiwa kwamba ni safi na hawakuhusika na hizo kashfa.
 
Hawa jamaa kuna mambo mawili wanayoyafanya,
Ili kutunisha mifuko yao,moja wanafanya kazi
kufuatilia wala rushwa wakiwapata wanavuta
mshiko kwao kwa vitiasho sana.
Mbili wanaangalia upepo Kama wapiga ramli
walisikia km hivi wabunge na wananchi
wechachamaa wanachangamkia tenda kw
kwa kulipwa pesa
 
Takukuru their are not part of the cure, rather are part of the problem.....Expect nothing from their investigation.always remember The good lawyer is the great salesman.
 
Tanzania nchi ya usanii na kudanganyana. Nani angeamini kuwa TAKUKURU ingekuja na kamba kuwa itawachunguza mawaziri watuhumiwa wa ripoti ya CAG. Hivi Takukuru walikuwa wapi wakati wote huu au wanatafuta kuwatoa chochote kitu? Je Takukuru licha ya kupaswa kuvunjwa ina udhu wa kumchunguza mtu tena kigogo wa CCM na serikali? Nani anamdanganya nani?
Vyombo vya habari vilimnukuu mkurugenzi wa Takukuru Edward Hosea akisema, “Sheria inatutaka tufanye uchunguzi wa tuhuma zozote na katika hili, CAG alitakiwa atupe taarifa. Lakini sisi baada ya kusikia bungeni tulimwandikia barua (CAG) kumwomba atupatie ripoti ya mambo yanayotuhusu tuanze kuyashughulikia haraka

Hosea,pole babu umeonesha upo hapo az sanamu
 
Wambie takukuru lori ya maige haiko bravo iko sengerema transport ltd, amedanganya!!!
 
Hawa jamaa kuna mambo mawili wanayoyafanya,
Ili kutunisha mifuko yao,moja wanafanya kazi
kufuatilia wala rushwa wakiwapata wanavuta
mshiko kwao kwa vitiasho sana.
Mbili wanaangalia upepo Kama wapiga ramli
walisikia km hivi wabunge na wananchi
wechachamaa wanachangamkia tenda kw
kwa kulipwa pesa za kazi maalum,sasa hapa
ndo wanapiga bao wanakula pesa za walipa kodi
Lkn pia wanavuta kw watuhumiwa wanaojidai
kuwachunguza.
Kwaujumula ni rushwa ndani ya rushwa.
Tungekuwa na serikali hiki kijiwe cha wahujum
uchumi(takukuru)kingekuwa kimevunjwa
Kipindi
 
Hawa jamaa kuna mambo mawili wanayoyafanya,
Ili kutunisha mifuko yao,moja wanafanya kazi
kufuatilia wala rushwa wakiwapata wanavuta
mshiko kwao kwa vitiasho sana.
Mbili wanaangalia upepo Kama wapiga ramli
wakisikia km hivi wabunge na wananchi
wechachamaa wanachangamkia tenda kw
kwa kulipwa pesa za kazi maalum,sasa hapa
ndo wanapiga bao wanakula pesa za walipa kodi
Lkn pia wanavuta kw watuhumiwa wanaojidai
kuwachunguza.
Kwaujumula ni rushwa ndani ya rushwa.
Tungekuwa na serikali hiki kijiwe cha wahujum
uchumi(takukuru)kingekuwa kimevunjwa
Kipindi cha ripoti ya Mwakyembe.
 
Hakuna kitu hapo. Ni maigizo ya sanaa asilia. Hivi Hosea naye si alikuwa mtuhumiwa wakati fulani?
 
CAG amesema'TUMEPOKEA BARUA TOKA TAKUKURU,KAMA SHERIA INAVOTUAMBIA ENDAPO TUTAKUTA MASUALA YA RUSHWA,TUWASILIANE NA TAKUKURU'.sos mwananchi.
KUMBE TAKUKURU HUPEWA INFO NA cag mbona hawazifanyiag kaz?
 
Hakuna kitu hapo. Ni maigizo ya sanaa asilia. Hivi Hosea naye si alikuwa mtuhumiwa wakati fulani?

Kweli mkuu! huyu Hosea alikwisha tuhumiwa mara kadha akae pembeni kupisha uchunguzi dhidi yake. Maana agizo ni kupangua baraza na wakuu wa taasisi na mashirika ya umma.
 
Hakuna Taasisi naichukia na kuidharau kama hi mnaita Takokuru, yaani hakuna kitu ni usanii na kukamata mahakimu wa mahakama za mwanzo tu...ovyoooo
 
mimi nadhani kwenye maswala yanayogusa jamii serikali iwe makini kwa kuwa wazi, kama CAG alishabaini madudu leo takukuru wanataka kutuambia nini:shock:
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom