Hawara huyu

tembaisdor

Member
Sep 19, 2011
29
20
Kanijia rafiki yangu asubuh hii na mapema nimshauri kwa yaliyomkuta usiku wa jana, wana jamvini kabla sijamshauri naomben mawazo yenu, yy ni hawara wa mume wa mtu sasa jana kulikuwa na harusi ambayo jamaa alipaswa kwenda na mkewe, wakati akimpa updates za yanayojiri harusin kupitia mtandao kwa picha katumiwa pia picha za mke wa jamaa yake kam mbili tatu hivi, harawa kaona hajatendewa haki kutumiwa picha hizo, ndio ugomvi mkubwa ukaibuka, ndio shost kaja asubuh asubuh kuuliza je ni sawa? Je imekaaje, ushauri please !
 
Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,546
2,000
Ni sawa, kwani yeye hajui kuwa ni mpango wa pembeni?
Haki gani anayodai au analostahili?

Pls sidhani kama tunatumia vyema nguvu na muda wetu kutoa ushauri kwa hawara. After all hawezi komiti syusaidi kwa hilo.
 
promiseme

JF-Expert Member
Mar 15, 2010
2,709
1,195
Sasa kaona kashushwa thamani,kadharauliwa au yeye kaonaje? mwambie atulie yeye hawara hana talaka.....
na mwambie ameze tuu kwani alipokubali kua na huyo mzinzi mwenzie hakujua kama anamke? asijitoe fahamu bure..
 
Christine1

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
14,563
2,000
wote wapumbavu:aliyemtumia,y alimtumia?inahuuu?alaaaaaaa!
Na aliyetumiwa,y uliruhusu kutumiwa?halafu cjaona y kazi ya nje ilalamike kwan kuna geni hapo?
Ss hapo anataka haki gani hapo?
Mwambie afanye mambo yake asepe
 
hosny

Senior Member
Dec 9, 2012
126
0
Kanijia rafiki yangu asubuh hii na mapema nimshauri kwa yaliyomkuta usiku wa jana, wana jamvini kabla sijamshauri naomben mawazo yenu, yy ni hawara wa mume wa mtu sasa jana kulikuwa na harusi ambayo jamaa alipaswa kwenda na mkewe, wakati akimpa updates za yanayojiri harusin kupitia mtandao kwa picha katumiwa pia picha za mke wa jamaa yake kam mbili tatu hivi, harawa kaona hajatendewa haki kutumiwa picha hizo, ndio ugomvi mkubwa ukaibuka, ndio shost kaja asubuh asubuh kuuliza je ni sawa? Je imekaaje, ushauri please !
. Kwani yy si hawara au anataka apewe heshima ipi?maana hawara siku zote anakubali hali 7b hana anachotafuta kwa mume/mke wa mtu
 
mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
11,913
2,000
hahaha wanawake bana...akili zenu hazipo sawa...hajui kuwa ukiwa hawara wewe ni kugegedwa tuu.
 
Heart

JF-Expert Member
Nov 29, 2011
2,674
2,000
Ni sawa, kwani yeye hajui kuwa ni mpango wa pembeni?
Haki gani anayodai au analostahili?

Pls sidhani kama tunatumia vyema nguvu na muda wetu kutoa ushauri kwa hawara. After all hawezi komiti syusaidi kwa hilo.

Bibie kasahau kama yeye ni mwizi..kanogewa kwa kuonja sasa anataka ale mzima mzima. # Hiyo haipoooo. Amwambie shoga yake, maadam kakubali kuwa 'Hawara ya mume wa mtu basi naakubali yote hayo'. Hawara hatakiwi kuwa na wivu!!!
 
Ambitious

JF-Expert Member
Dec 26, 2011
2,140
2,000
Do not associate yourself with foolish people b'se u'll end up being as stupid as they are.
 
Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
7,986
2,000
Huyo shosti wako ni hawara hivyo hana haki yeyote. Kwani yeye anajihisi kaolewa au? Mwambie asijichanganye akili, yeye ni wa kuchapa tu kama vile masikioni, makwapani, kuliwa tigo, kulambishwa koni, na usodoma mwingine autakayo huyo jibaba mshahara ni hilo pango la nyumba.
 
BADILI TABIA

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
31,826
2,000
yaani tutumie nguvu kumshauri hawara? Hajui kuwa hawara ni sawa na toilet paper unaitumia na kuitupa?
 
BADILI TABIA

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
31,826
2,000
Huyo shosti wako ni hawara hivyo hana haki yeyote. Kwani yeye anajihisi kaolewa au? Mwambie asijichanganye akili, yeye ni wa kuchapa tu kama vile masikioni, makwapani, kuliwa tigo, kulambishwa koni, na usodoma mwingine autakayo huyo jibaba mshahara ni hilo pango la nyumba.

thread closed loh
 
zema21

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
619
225
hahahaha mi namshauri aachane na huyo hawara atafute mwanaume wake! wanaume ni wengi tena siku hizi wengi ni mafundi mno
 
SnowBall

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
3,054
1,750
Naililia forum yetu hii masikini inapotea kwa kasi...Yaani mtu analeta UZI anaomba ushauri kuhusu HAWARA wa mtu...duh!
Mtanisamehe may be i am out of this planet world.....
 
asakuta same

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
14,835
0
aliyenyimwa haki ni wife hapo ,inakuwaje mtu upo na mkeo kwenye mtoko wa jioni halafu unapata muda wa kumupdate hawara?
kizazi hiki sijui tunaelekea wapi.
 
smallvile

JF-Expert Member
Sep 12, 2012
493
250
hivi hajui kwamba yeye ni hawara na haki ya hawara haijui au niaje,
haki ya hawara kuona wivu lakini hana mamlaka kuchukua hatua mbele ya mke wa mtu
ataishia kutamani tu yeye ataishia kula kwa woga, kwa kuiba, penzi lake ni la haraka haraka
utamu wake ni pale anapomwona mume wa mtu katoroka, na akifika tu, anataman kugedwa
kuliko kuongea maana hamu ya penzi kwake ni kubwa
huyu ni hawara tu,,, hana haki? akitaka kuwa na haki
na atafute mume wake
 
Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
11,772
2,000
Jambo limekutoke wewe unasema eti rafiki yako.UMENIUDHI KICHIZI NA SIKUSHAURI CHOCHOTE HAPA.
 
Ledwin

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
225
195
nachukia watu wanaoiba waume za watu mwambie aendelee tu,yaani anajiaminisha nini sana ache ndoa za watu jamani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom