Recent content by Tella Mande

  1. Tella Mande

    Wazazi walaumiwe matokeo mabovu Form 4

    Matokeo mabovu ni kwenu. Kwetu ni wani na two peke yake.
  2. Tella Mande

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Unajua amelipa gharama gani?
  3. Tella Mande

    Kuoa Kumbe Siku Hizi ni Upumbavu Kabisa

    Kumbe ujanja kwako ni kuolewa au? Unapilamamikia kutoa ina maana unataka ukae upande wa kupokea... na huko ni kwa mke... hebu fikiria vizuri mjomba. Hayo ni mawazo hatarishi.
  4. Tella Mande

    Ujazo

    Inategemea unataka kujaza nini. Kila kimiminika kina kitu tunaita density. Anzia hapo ndo utapata uhusiana wa ujazo na uzito
  5. Tella Mande

    Adhabu za viboko zifutwe mashuleni: Hoja kwa wizara ya Elimu

    Acha viboko vitembee ili wale wanafunzi mashoga tuwajue.
  6. Tella Mande

    Watu wenye sura mbaya na miili mibovu. Vinasaba vyao vikali sana

    Nimekuwa nikiona picha za familia mbalimbali na pale ambapo mmoja wao ana sura au mwili usioumbika vizuri unakuta karibu watoto wotee wanafana na yule mbovu, na yule mzuri anakuwa hajaambulia kitu. Mtu anakomba mpaka kucha, vudole, size ya mguu nk. Hii ni kwanini wadau ?
  7. Tella Mande

    Nini hasa lengo la kumzika marehemu jirani na nyumba au katikati ya uwanja?

    Kila mtu kabeba ujinga wa kwao na huu ulioandika ni ujinga wa kwenu. Kwenu sio kwetu. Sio kila mtu kakuzwa na mlenda. Acha kujisifu na mlenda. Wengine wamekulia supu ya ng'ombe, kuku nk. Na hao wasemeje? KILA MTU NI SAHIHI KWA MAKUZI NA MTIZAMO WAO. PUNGUZA MATUSI. HUYAWEZI.
  8. Tella Mande

    Je, ni sahihi kurithi na kuvaa nguo za marehemu?

    Kwani mtumba unajua ni wa marehemu yupi? Si bora hata za huyo jamaa yako?
  9. Tella Mande

    Walimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo na Teknolojia cha Mwl.Nyerere wakaa Miaka 14 bila kufundisha kwa kukosa Wanafunzi

    Shangaa zaidi kwani kwenye orodha ya vyuo vikuu TCU hakipo. Ina maana bado kipo kwenye hatua za mwanzo za acreditation
  10. Tella Mande

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ahudhuria Ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Jukwaa la Uchumi Duniani, Davos, nchini Uswizi

    Watu wana rematism kali hata ac inawasumbua, lakini wakisikia mkutano wa uswis na baridi yote!! Wapi,,, wamooo !! Tuionee huruma miili yetu.
  11. Tella Mande

    Rais Samia atasafiri kwenda Uswisi Kushiriki Mkutano wa Uchumi wa Viongozi wa Dunia

    Unaacha kuwa chawa wa mamako unakuwa chawa wa mama wa wenzio!! Aibuuu
  12. Tella Mande

    Mch. Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama ameishinda vita hata kabla haijaanza. Muda utazungumza

    Hotuba ya askofu malasusa iliashiria haya kwa kudai wachungaji wanajifanya wakubwa kuliko kanisa. Ipo shida kubwa kwenye diosisi ya madhariki na pwani na majimbo yake. Wapo watumishi wadogo kama parish worker ila wana nguvu hata kwa wachungaji kwa mahusiano yao na viongozi kwenye majimbo na...
  13. Tella Mande

    Kwanini ukila ugali unapata choo kingi tofauti na ukila wali au ngano unapata choo kidogo hii inawezekana vipi?

    Utafiti wako uliufanya wa watu wangapi? Ulikusanya vipi sample zako ili uzipime? Vipi nafasi ya mboga ? Vipi nafasi ya kiasi?
  14. Tella Mande

    WIZARA YA ELIMU: Mabadiliko kwenye elimu yetu Tanzania

    Nimekuwa nikisikia matamko ya wenye mamlaka kwenye sera, miongozo na watoa fedha kwenye sekta ya elimu nashangaa. Bado utasikia wapo wanafunzi wa msingi na sekondari wasiojua kusoma na kuandika. Wanaotoa fedha unasikia wakijisifu kujenga madarasa. Hongereni. Mimi huwa najiuliza, hivi mfuma...
  15. Tella Mande

    Ndege za Dubai zinaendelea kutua Serengeti! Tunaibiwa

    Botswana rais mstaafu kakimbilia south kwa ajili ya matendo yake akiwa madarakani. Hii ni kwa sababu katiba na sheria zinaruhusu. Huku kwetu sijuiii
Back
Top Bottom