Recent content by Telexfree

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemfumania mke wangu na baba mkwe, nifanyaje?

    pole mkuu,mke utamuacha na baba utamfanyaje?kama baba ndio tabia yake ya uzinzi hata ukioa tena bado atakuchapia tena,piga chini wote baba pamoja na mke maana huyo baba nae wala hafai kupewa heshima ya ubaba.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Zari ateswa na picha ya Katunzi

    hahahaa u make my day umenifanya nicheke kwa sauti ofisini"eti lipapa na nguru".
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Le Mutuz apinga ushindi wa King Kiba dhidi ya Chibu

    hana lolote huyo Le tumboz anatafuta kik tu,utasubiri sana my kaka.
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Diamond ni kubwa kuliko tunavyofikiria

    tatizo huyo Diamond amesahau kuwa mashabiki waliompandisha ndio watakao mshusha,inshort ana maneno machafu ya kulambishana ndim cjui,mara maumivu yakizidi kamuone daktari yaani too much maneno ya Kiswahili kwa mashabiki wake kiasi kwamba anaboa.
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Diamond ni kubwa kuliko tunavyofikiria

    labda Rais wako lkn c wawasaniii
  6. T

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mama Mzazi wa mbunge Zitto Kabwe, Shida Salum afariki Dunia

    Daah mkuu pole sana kwa stress kama ni kutukana tu we tukana uwezavyo tusi gani ambalo litakuwa jipya labda sijawahi kulisikia au ukitukana litanichubua ngozi au?haya uwanja wako tukana uwezavyo mkuu nakuruhusu kwa roho nyeupe.
  7. T

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mama Mzazi wa mbunge Zitto Kabwe, Shida Salum afariki Dunia

    Mkuu hujalazimishwa kosoma wa kujibu kama vp ungepita kimya kimya tuau sio!
  8. T

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mama Mzazi wa mbunge Zitto Kabwe, Shida Salum afariki Dunia

    Pole Mh.zitto kabwe kwa kufiwa na mama yako na mwanachama hai wa Chadema mama Shida.inalillah wainailah rajiun,sote ni mavumbi na mavumbini tutarudi!.
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CAF Champions League

    Vijana wa yanga wako kazini mdahuu wakipambana kutetea taifa,tuache unazi tuwaombee wavuke salama.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mtu wa kubadilishana nae simu

    nokia asha x2 itakufaa?
Back
Top Bottom