Kama nchi tunahitaji kuboresha mazingira ya kujifunzia na kufundishia ili mwanafunzi asitegemee sana mwalimu,kama tunataka kuendeleza na kukuza wanasayansi,Hii kozi ya UDOM imeandaa watu muhimu sana katika taifa hili kutokana na changamoto ambazo wamekuwa wanakumbanazo,,,msikate tamaa songeni...
Serikali imeamua kuchezea elimu ya vijana hawa ambayo wameitafuta kwa muda mrefu kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha nne ,
Hivi ingelikuwa ni watoto wao ndo wanapotezewa dira namna hii wangejisikia amani kweli?
Kama maandamano hayasaidii mbona wametoa majina ya mkopo ambayo yanaonyesha yamefanyiwa malipo tangu tarehe07/01/2015
Mnao mpinga Mwakibinga mpingeni ila mungu anajua mchango wake ni upi katika kutetea haki za watoto wa masikini
Serikali iliahidi kutoa mkopo kwa wanafunzi watao soma diploma ya ualimu, lakini mpaka leo kuna watu wameishi hapa udom kwa muda wa miezi miwili bila kupata huo mkopo ,maisha magumu sana watu wanaanza kufungasha mabegi kwa kukosa hela ya kuendesha maisha ya chuo,hivyo basi jumatano ijayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.