Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
Aliyekuwa mbunge wa Biharamulo Magharibi kupitia CHADEMA bunge lililopita, Dr. Gervase Mbassa amefariki dunia. Ni kifo cha ghafla sana
Chanzo mimi mwenyewe nipo Biharamulo na ni jirani yake.
Hujasoma vizur habar kwani?kwan alikua kamanda au gamba,?
Ndio alishindwa uchaguzi uliopitaKumbe Mbasa hakurudi mjengoni?