Ni kweli kabisa jukumu la ulinzi na usalama wa raia na mali zao ni la polisi, na maandamano ni haki ya kimsingi ya raia, hivyo basi polisi wanawajibika kuwalinda wote wanaoandamana na watakaokuwepo maeneo ambayo maandamano yatapita na sio kuyazuia, kuyazuia kwa sababu za kiusalama kila ikiwa ni...
Huu ni upuuzi yaani kuhamasisha ulinzi shirikishi aka polisi jamii ndio kwenda kuchangishana hela kununua matairi na petroli kwa gari la polisi kuweza kufanya doria? hawa wanasiasa na viongozi chini ya utawala wa ccm ni bure kabisa, yaani wao ni kufwata pale ambapo raia wamehangaika na...
DRCs Kyenge Suffers Racism As Italys 1st-African Cabinet Minister
Dr. Cecile Kyenge, an Italian citizen born of parents from the Democratic Republic of Congo made history as the first African to become a cabinet member in Italy on April 27, a historic development which however has seen a...
Compilation of World Leaders Getting In Fights - YouTube
Kujua habari ni bure, kanuni na sheria zikifwatwa hakuna sababu za mtafaruku, hawa pia walipishana kuhusu kufwata kanuni na mwishowe inakuaga hivi.
:nono:
MADARAJA MAPYA KWA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE:
Serikali kwa kupitia wizara ya elimu imefanya mabadiliko kwenye madaraja ya alama za mitihani ya kidato cha nne. Hapo awali, madaraja yalikuwa ni kama ifuatavyo:
A = 81%-100%
B = 61%-80%
C = 41%-60%
D = 21%-40%
F = 0%-20%
Mabadiliko...
By Chris Lukosi
Nani alikuambia mie nilifeli?
Sio kuandika unatokwa povu tu bila kutumia akili.
Haya ukiandamana kesho halafu....
Au unadhani baada ya kuandamana ndio watabadilisha hiyo sifuri yako kuwa Division one?
Tatizo lenu mnakurupuka tu kufuata upepo bora DJ kasema muandamane basi woote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.