eumb
Senior Member
- Apr 2, 2012
- 149
- 70
Ila hawa ni bora msiwaite viongozi. Waiteni waratibu, kwasababu kuwa kiongozi ni lazima uwe na mtu wa kumuongoza. Sasa hawa wanamuongoza nani?
Hawa wanaratibu uanzishwaji upya wa vuguvugu la chadema London baada ya muasisi wa awali Chris Lukosi a.k.a Mzee wa Kazi kujitoa na kundi kubwa la wanachama kumfuata...
Chris Lukosi anajua kabisa kuwa kilichomtoa Chadema ni kigingi alichowekewa kwenye biashara zake, hakuna mfanyabiashara aliyeingia Chadema au upinzani akaachwa mambo yake yaendelee, utapigwa rungu balaa, chezea Magamba!!!
Lakini wapiganaji wa kweli ndio hawa wanaendelea kuibuka, wanafiki kama hao na wenye njaa kali kama kina Shonzi na mwenzake lazima watachujwa tuu!!!
Peoplezzzzz.....