Recent content by Tedrick Sanga

  1. Tedrick Sanga

    M/kiti wa CHADEMA Manonga amuunga mkono Rais Magufuli

    Haya, nasikia siasa hainaga ushemeji,,,....
  2. Tedrick Sanga

    Tabora hoteli gani nzuri ya five star?

    Hata kama nilisoma Tabora cku nyingi nadhani Olion itakuwa ndio bado nzuri kupita zote. The way to train station au Kazima secondary.
  3. Tedrick Sanga

    Msanii wa kike avukwa na nguo akiwa jukwaani

    Hapo nguo haikumvuka,, hiyo ni style ya mwendokasi ya dada zetu kwa sasa.
  4. Tedrick Sanga

    Hii ni kweli ya Magufuli au ni safisha UKAWA na visasi?

    Mh Rais kafanya maamuzi hayo baada ya kupata feedback frm PM,, kwa Ziara yake ya kushtukiza.. Sasa mambo ya UKAWA yanaingiaje hapa tena. Yaan kwa evidence zote hizi za makontena 349 kodi iliyokwepwa zaid ya bil 80, bado unaingiza mambo ya UKAWA tena.???!!!
  5. Tedrick Sanga

    Huyu ndiyo Magufuli, Bila ya Chenga!

    Clip haina sauti,, sasa tutajuaje anachokisema?
  6. Tedrick Sanga

    Mashine ya MRI ya Muhimbili yaharibika tena, CT-Scan haijatengamaa!

    Hiv kweli wizara nzima ilishindwa kushauriana na kumshauri President kuwa badala ya hela iliyotolewa na Hazina wanunue MRI mpya kuliko kutengeneza hizo mbovu.? Sasa hiyo billion 3 tushaitupa baharini na mashine bado mbovu. Duuh kweli Tz kuna kitu kina-miss upstairs ( vichwani).
  7. Tedrick Sanga

    Taasisi na Mashirika ya Umma kutoa pongezi kupitia Vyombo vya habari liangaliwe upya

    Kwa hili u deserve to be among the great thinkers. Good idea.
  8. Tedrick Sanga

    Magufuli apiga STOP Safari za nje ya Nchi; Elimu Bure kuanza Januari 2016...

    Kumbukeni hata kwenye kampeni zake alikuwa anacctiza serikali ya Magufuli na sio ya CCM labda ndo kusema amejitenga na maovu ya chama chake.. # kazi ndo Ishaanza hivyo.
  9. Tedrick Sanga

    Dk. Slaa aliipatia CHADEMA wabunge zaidi ya 30, Lowassa ameipatia CHADEMA wabunge 22

    Jaman msiisahau hata CUF coz kabla ya Lowasa kuhamia Ukawa CUF ilikuwa na Wabunge wangapi na sasa wako wangapi jus kwa Tz Bara tu.
  10. Tedrick Sanga

    Magufuli apiga STOP Safari za nje ya Nchi; Elimu Bure kuanza Januari 2016...

    Kwa hili tumpe credit zake maana amethubutu,, sasa kwa Mawaziri ataowachagua aingie nao mikataba kabisa ili ULE msamiati wa Mawaziri Mizigo lisijirudie tena.
  11. Tedrick Sanga

    GE2015 Kutoka Iringa: Kampeni CCM uwanja wa Samora

    Hata Mbeya jana aliishia kuzomewa tu na kuambiwa kuwa watu wanamtaka Lowasa,, Viva Lowasa Viva Mabadiriko.
  12. Tedrick Sanga

    GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Duuh hivi kwa attention yote hii kwa wa Tz kinachojili huko Dom kuna yoyote ambaye bado anaamini Rais ajaye atatoka UKAWA? Endapo CCM watakuwa kitu kimoja baada ya mchakato huu naamini bado wana nafasi kubwa ya kutoa Rais ajaye. My opinion.
  13. Tedrick Sanga

    Sababu zinazowafanya wanawake wakose wachumba wa kuwaoa

    Na hofu kama kuna atayediriki kuku-pm
  14. Tedrick Sanga

    Mke wa Kafulila, Bi. Jessica Kishoa akamatwa na Polisi

    Kimetokea nn mkuu,, pics muhim kama zpo.
  15. Tedrick Sanga

    Niulize juu ya ugonjwa wako nikwambie tiba ya maji ya matunda za mboga za majani

    Nikila chakula hata vojiko vitatu tu tumbo linajaa saana. Nimetumia magnessium, dawa za minyoo lakin tatizo haliishi. Msaada plz.
Back
Top Bottom