M/kiti wa chadema tawi la Manonga amemfagilia Rais Magufuli akiomba wananchi kumuunga mkono kwa juhudi zake za kuleta maendeleo kwa watanzania. M/kiti hyo ameyasema hayo mapema leo wakati Rais Magufuli aliposimama kuwasalimia wananchi wa Manonga akiwa njiani kuelekea Nzega,ndipo alipomkaribisha m/kiti hyo, akapanda kwenye gari ya rais ndipo akamwaga yake ya moyoni.
Source: ITV.
Source: ITV.