kuna muda najizuia kuongea lakn nashindwa hiki kiredio kinaboa sana kwan serikali iliombwa?si walijipendekeza wao................ninyi watangazaji mnakoelekea mnavuka mipaka sasa
mama ndalichako nakuheshim sana ila unakoelekea mama unakosa njia.muuaji apatikane kwani amepelekwa wapi?mbona hizi drama kama za bongo movie mambo sasa anasema askari sita wanahojiwa wewe unasema apatikane acheni usanii sasa
kuendelea kumkumbuka msichana mloachana kisa unampenda ni sawa na kusubiri ndege feri.kikubwa usipende kutembelea sehemu ulizozoea kwenda naye,wala usipende sana kukaa peke yako.ukikumbuka mabaya yake na kuwa busy na mambo yako utamsahau
Mwenzenu naomba ushauri wenu,
Nipo katika mahusiano na mchumba wangu mwanzoni tulikua tunaishi vizuri tu baadae mabadiliko yakaanza kuwasiliana ikawa kwa tabu kidogo nilipomuuliza akasema tatizo kazini anabanwa sana hivyo simu si rafiki sana.
Nilipo endelea kulalamika juu ya mawasiliano kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.