Recent content by TechWarlock

  1. TechWarlock

    Bati(ALAF) zimebaki baada ya kupaua nauza

    Nilinunua kwa Tsh 23,840 kwa mita ila nauza Tsh 21,000 kwa mita, na kofia/valley(mita 3) kwa Tsh 21,000(nilinunua kwa Tsh 24,000)
  2. TechWarlock

    Bati(ALAF) zimebaki baada ya kupaua nauza

    Salama Wakuu? Nina bati 13 za ALAF zimebaki baada ya kupaua naziuza, 11 ni za mita 3 na 2 ni za mita 3.3 nina kofia 1 na valley 1 zote ni charcoal grey na aina ya bati ni Versatile, zina kama siku 6 tangu zitoke kiwandani. Unaweza nichek PM kama uko interested bati zipo Kimara Dar es salaam...
  3. TechWarlock

    Nahitaji Tairi ya Gari (225/55R17 97H)

    Yes, kama yatapatikana size hapo juu itakua njema.
  4. TechWarlock

    Nahitaji Tairi ya Gari (225/55R17 97H)

    Habari zenu Wakuu, Poleni sana na COVID-19. Naomba msaada wa kupata tairi (specs: 225/55R17 97H) nne za gari. Nimejaribu kutafuta lakini kila napouliza wana za kichina au south korea lakini nahitaji zile za Japan kama Yokohama, Dunlop au Goodyear. Shukrani.
  5. TechWarlock

    Ushauri: Shule nzuri ya private Advanced Level

    Wakuu habari zenu, Naomba kujua shule nzuri ya private kwa Advance yenye michepuko ya Sayansi (ukiondoa St. Joseph na Alpha), itafaa sana ikiwa Dar es salaam lakini hata mikoa mingine ni njema pia. Sifa za mwanafunzi ni wa kiume na amefaulu vizuri kwa daraja la divisheni 1 ya pointi 7. Bajeti...
  6. TechWarlock

    Halotel Modem 3G(new) for Sale

    Nimefanya editing ili niweze kufikia watu wengi zaidi
  7. TechWarlock

    MyLifeXP:Una miaka 20+ na ni mwanamke na bado uko bikira, ni vyema ukasubiri mpaka ndoa

    Habari zenu Wakuu, Kutokana na very little experience of my life on this earth, nimeona couple of young women ambao ni 20+ years old and still with the V-Card wakiumizwa sana kimapenzi na pia the worst thing is that it's very easy for them to get pregnant, nimejaribu kufikiri na kuona kama...
  8. TechWarlock

    Hakuna kitu kinaitwa Usaliti kwenye mahusiano

    If you become oblivious of your existence life gets so hard. Job 22: 21.
  9. TechWarlock

    Halotel Modem 3G(new) for Sale

    Habari zenu Wakuu, Ninauza modem ya halotel 3G bado mpya kwa Tsh 20,000/- (ingawa inauzwa Tsh 30,000/- dukani), sababu kuu ni kuwa nimenunua simu yenye uwezo wa 4G ambayo naitumia sana kwa sasa kwa mahitaji ya internet, nipo Dar es salaam na itapendeza kama nawe utakua Dar kwa urahisi wa...
  10. TechWarlock

    Mifuko ya Jamii: Mwajiri anapaswa achangie asilimia ngapi na Mwajiriwa asilimia ngap?

    Habari zenu wanajamvi. Napenda kuuliza taratibu juu ya Mifuko ya Jamii, ni asilimia ngap hizi pande mbili zinapaswa kutoa, manake naona mtu mmoja katika private sector wote wanachangia 10% each, but mtu mwingine kwenye public sector Mwajiriwa 5% na Mwajiri 15% naomba ufafanuzi kwa anayefahamu.
  11. TechWarlock

    Pesa ya Field mwaka huu imechelewa sana

    The issue ni kuwa serikal kuu, heslb, hata pia utawala wa chuo hautoi ushirikiano wowote ule kama vile hawaelew kinachoendelea.
  12. TechWarlock

    Pesa ya Field mwaka huu imechelewa sana

    Hilo tangazo ni la kama Alhamic iv, ila jana ni kuwa serikal ya wanafunz UDSM(DARUSO) imetoa msimamo wake na kusema hakuna mwanafunz yeyote kwenda field mpaka pesa iwekwe.
  13. TechWarlock

    Amefukuzwa shule, tufanyeje?

    That u said is in motion right now.
  14. TechWarlock

    Amefukuzwa shule, tufanyeje?

    Anataka shule. So ngoja tuone tunafanya nin but he really fucked up.
  15. TechWarlock

    Amefukuzwa shule, tufanyeje?

    Nimembana aniambie ukwel, inaonekana dogo alikuwa na suspension kama 2 iv za kuwa na cm na kutoka nje ya shule ck ambazo co za kutoka.
Back
Top Bottom