Pesa ya Field mwaka huu imechelewa sana

Pesa ya Field mwaka huu imechelewa sana

Hicho ndio kinachoonekana mkuu....sasa itabidi watoe wiki nyingine tuanze kupiga virungu angalau tupate visenti vya mauli
Tujiandae kwa lolote possibility ya pesa kabla ndogo mi nshapoteza Tumaini labda itatukuta tukiwa mafunzoni

Sent from my itel it1501 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu jana nimeangalia tangazo lililotolewa na Udsm, linatubembeleza tuende field uku likisema pesa tutapewa kwa awamu... Yani ni shida sana, wangesema tu kuwa hawana hela, sio uhakiki
Hilo tangazo ni la kama Alhamic iv, ila jana ni kuwa serikal ya wanafunz UDSM(DARUSO) imetoa msimamo wake na kusema hakuna mwanafunz yeyote kwenda field mpaka pesa iwekwe.
 
Hivi hela wanazotangaza wamekusanya ni kweli??
 
Hilo tangazo ni la kama Alhamic iv, ila jana ni kuwa serikal ya wanafunz UDSM(DARUSO) imetoa msimamo wake na kusema hakuna mwanafunz yeyote kwenda field mpaka pesa iwekwe.
Msimamo mzuri wasituletee siasa hapa
 
Mkuu jana nimeangalia tangazo lililotolewa na Udsm, linatubembeleza tuende field uku likisema pesa tutapewa kwa awamu... Yani ni shida sana, wangesema tu kuwa hawana hela, sio uhakiki
1470551344828.jpg
 
Mbona denj la taifa linaobgezeka lakini pesa serkal haina?
 
Mkuu tangazo rasmi lililotoka Jana limesema tusiende mpaka pesa iingie
 
Mkuu tangazo rasmi lililotoka Jana limesema tusiende mpaka pesa iingie
Daruso haiwezi pambana na mihimili now days kama serikali yenyewe haijabadilisha maamuzi ya kureport trh 8 basi itakulazimu uende
 
Daruso haiwezi pambana na mihimili now days kama serikali yenyewe haijabadilisha maamuzi ya kureport trh 8 basi itakulazimu uende
Daaaah yani hali ni ngumu sana mtaani hata mtu wa kumkopa hakuna kila mtu analia.
 
namba 0 kwa kirumi inaandikwaje? nadhani zingine mmeshazisoma vizuri zote bado hiyo ya kirumi. "Vumilieni, mkiona shida zinakuwa nyingi ujue neema inakaribia"
 
Sua wamesema tubaki nyumbani, mpaka watakapo toa taarifa nyingine.... Hivi pesa zimepelekwa wapi namaniiiiiiii
 
Back
Top Bottom