Amefukuzwa shule, tufanyeje?

TechWarlock

Member
Sep 9, 2014
37
11
Wadau kuna dogo form 6 kafukuzwa shule kisa kaextend likizo kwa 1 month. Kama kuna mtu anaweza kujua procedure za kufuata ili dogo arudi shule hata private kwa sababu pale wamegoma kumrudisha.

Its government school ambayo kawa expelled
 
mh! pole kwake!! mbona mimi nilikuwa navuta hata mwezi nakuna washkaji walikuwa wavuta mpaka mwezi na nusu bila shida yoyote!!? itakuwa dogo ana zengwe jingine may be ndo maana kawa expelled
 
Kuvuta likizo ndio ufukuzwe,labda seminarini

Dogo awe honest awaambie ukweli
 
shule ya gvt ufukuzwe kisa kuvuta never see it....dogo atoe sababu za kufukuzwa bana
 
Wadau kuna dogo form 6 kafukuzwa shule kisa kaextend likizo kwa 1 month. Kama kuna m2 anaweza kujua procedure za kufuata il dogo arud skul hata private coz pale wamegoma kumrudisha.
Its government skul ambayo kawaexpelled
Hamna kitu kama icho ww.
Kairipotishe hiyo shule kwa viongoz husika wa hilo eneo iliyopo shule.
Mtu atafukuzwa shule kama atakua mtoro kwa siku 90 , kama hakutoa sabab ya kutokuepo skul
 
Nimembana aniambie ukwel, inaonekana dogo alikuwa na suspension kama 2 iv za kuwa na cm na kutoka nje ya shule ck ambazo co za kutoka.
 
Nimembana aniambie ukwel, inaonekana dogo alikuwa na suspension kama 2 iv za kuwa na cm na kutoka nje ya shule ck ambazo co za kutoka.
Alikuwa anakudanganya kusema kuwa kafukuzwa kwa sababu ya kuzidisha likizo........nenda we mwenyewe pamoja na dogo ukaongee na uongozi wa shule uwaombe wakusaidie dogo arudi shule
 
Hapo Kuna Sababu Nyinginezo Nenda Kaongea Na Walimu Vzr
Kuna Mtu Wakati Tupo form 6 Alikuwa Anatega Hadi Miezi Miwili Na Hakufukuzwa
 
Hamna kitu kama icho ww.
Kairipotishe hiyo shule kwa viongoz husika wa hilo eneo iliyopo shule.
Mtu atafukuzwa shule kama atakua mtoro kwa siku 90 , kama hakutoa sabab ya kutokuepo skul
Not 90 mkuu ni wiki 2 tu bila taarifa huna shule...vipindi 60 coz shule nyingi zina vipindi 30 per week so ukizidisha kwa wiki mbili ni 60.

Ila kama huyo dogo kafukuzwa kwa kuvuta tu hao walimu wana roho ngumu aseeh...

Ushauri: kama wamegoma kumrudisha kaombeni barua ya uhamisho hata serikalini shule ni nyingi mtapata.
 
Mbona mm nakumbuka advance nildoj miez miwil lakn ckufukuzwa bal nilpewa adhabu ya kukata na shoka
 
Mbona mm nakumbuka advance nildoj miez miwil lakn ckufukuzwa bal nilpewa adhabu ya kukata na shoka
Ni fairness tu. Kama unajamaa mkuu wa shule au mwalimu wa nidhamu uliza.
Kuna shule zingine wanafunzi wanatumia simu free..kama niliyosoma mimi ila sheria ni ukikamatwa unafukuzwa..

Huyo dogo aambatane na mzazi akaombe msamaha yakishindikana maana kuna walimu wanaaa aombe barua ya uhamisho kuna shule nyingi atapokelewa
 
Back
Top Bottom