Ushauri: Shule nzuri ya private Advanced Level

TechWarlock

Member
Sep 9, 2014
37
11
Wakuu habari zenu,

Naomba kujua shule nzuri ya private kwa Advance yenye michepuko ya Sayansi (ukiondoa St. Joseph na Alpha), itafaa sana ikiwa Dar es salaam lakini hata mikoa mingine ni njema pia. Sifa za mwanafunzi ni wa kiume na amefaulu vizuri kwa daraja la divisheni 1 ya pointi 7. Bajeti iliyopo ni milioni 7 mpaka 8 kwa ada ya mwaka. Kama unaweza kuweka taarifa zaidi za shule kama mawasiliano na ada zao itapendeza zaidi.

Asanteni!
 
Wakuu habari zenu,

Naomba kujua shule nzuri ya private kwa advance yenye michepuko ya sayansi(ukiondoa St. Joseph na Alpha), itafaa sana ikiwa Dar es salaam lakini hata mikoa mingine ni njem pia. Sifa za mwanafunzi ni wa kiume na amefaulu vizuri kwa daraja la divisheni 1 ya pointi 7. Bajeti iliyopo ni milioni 7 mpaka 8 kwa ada ya mwaka. Kama unaweza kuweka taarifa zaidi za shule kama mawasiliano na ada zao itapendeza zaidi.

Asanteni!
Nakushauri mpeleke Marian boys ada yake sio kubwa 3m kwa mwaka, shule imetulia ipo karibu na mpaka Wa dar na bagamoyo
 
Nakushauri mpeleke Marian boys ada yake sio kubwa 3m kwa mwaka, shule imetulia ipo karibu na mpaka Wa dar na bagamoyo
Ok pia nakushauri ufanye maamuzi mapema Marian huwa wanafanya interview mapema na ukikosa hakuna salia ya mtume, so fwatilua ujue ni lini wanafanya interview kwani wao hawatangazagi kwenye Media
 
Wakuu habari zenu,

Naomba kujua shule nzuri ya private kwa Advance yenye michepuko ya Sayansi (ukiondoa St. Joseph na Alpha), itafaa sana ikiwa Dar es salaam lakini hata mikoa mingine ni njema pia. Sifa za mwanafunzi ni wa kiume na amefaulu vizuri kwa daraja la divisheni 1 ya pointi 7. Bajeti iliyopo ni milioni 7 mpaka 8 kwa ada ya mwaka. Kama unaweza kuweka taarifa zaidi za shule kama mawasiliano na ada zao itapendeza zaidi.

Asanteni!
Kwa nini huzitaki hizo shule mbili, Alpha na St Joseph?

Mpeleke Feza boys.
 
Back
Top Bottom