Wadau wenye kufahamu masuala haya naombeni mnifahamishe hili la bendera yetu ya Tanzania, ikiwa inapandishwa ama kushushwa ni utaratibu kama sio sheria watu kusimama mpaka zoezi hilo likamilike. Je, kuna ulazima wa kuendelea na utaratibu huu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia mchunguze kwa makini huenda amejichomwa ni kitu chenye ncha kali,jaribu kumsafisha kwa maji moto mguu huo kama hauna tobo basi mtoboe kwa sindano kisha mpake spirit.huduma ya kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wimbo wa koffi olomide ft fally ipupa Silvie.
Mtu asije kuchanganya na ule silvie wa koffi alioimba na bendi nzima na wala sio ule aliomshirikisha felle gora.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.