theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,750
- 15,641
- Thread starter
- #321
Karibu sana mkuu kwa ushauriSafi sana
Karibu sana mkuu kwa ushauriSafi sana
Asante mkuu, nitakaribiaKaribu sana mkuu kwa ushauri
ahsante sana Mkuu!Usijali mkuu ukiona wanaonesha dalili za ambazo huzielewi usisite kunitafuta kwa msaada zaidi.....
Hahah wakiwa wengi utaniuzia mmoja unitumie hela ya bia....
Una kuku wa aina gani mkuu....
Hivi unawafuga kwa ajili ya nyama au mayai mkuu....ahsante sana Mkuu!
Ninao Sasso aiseee
Mkuu utahitaji vifuatavyo ili kuwa na duka la mifugoDokta Samhani.
Kuna Taratibu Gani Mahsusi za Kisheria Zinazopaswa Kufuatwa Ili Kuanzisha Duka la Kuuza Dawa za Mifugo Hasa Kuku na Mbegu za Mazao Mbalimbali na Dhana Zingine za Kilimo na Ufugaji?
Karibu sana ukihitaji msaada zaidi nitafute kwa namba zangu 255712784472AHSANTE SANA MKUU. NIKUTAFUTA KWA MSAADA ZAIDI
Hawa waliopo nataka wafike level ya kutaga( Ingawa Sasso Sio wazuri kwa mayai) ila kuna mtu alinishauri nichukue Sasso coz hata kuloirer pure ni adimu waliopo wamesha chakachuliwa sana so hawatofautiani kivile na Sasso!Hivi unawafuga kwa ajili ya nyama au mayai mkuu....
Kuroiler mbona wapo wazuri sana.... ninekurushia mchanganyo wangu PM naomba uutumie uone kama kutakuwa na mabadiliko yoyote mkuu....Hawa waliopo nataka wafike level ya kutaga( Ingawa Sasso Sio wazuri kwa mayai) ila kuna mtu alinishauri nichukue Sasso coz hata kuloirer pure ni adimu waliopo wamesha chakachuliwa sana so hawatofautiani kivile na Sasso!
Ubarikiwe mkuu nimeonaKuroiler mbona wapo wazuri sana.... ninekurushia mchanganyo wangu PM naomba uutumie uone kama kutakuwa na mabadiliko yoyote mkuu....
Dr vipi kati ya hawa wanaojulikana kwa jina la kuku wa Malawi (australorp) na kuroiler ni wapi wenye kutaga zaidi mayai? Na pia hao australorp nitawapataje nikiwa Dar?Kulinganisha productivity kati ya kuroiler na kienyeji ni sawa na kulinganisha passo na range rover mkuu....
Kuroiler anawastani wa kutaga mayai hadi 200 kwa mwaka na kienyeji wanauwezo wa kutaga wastani wa mayai 40-50 kwa mwaka nadhani kuna utofouti mkubwa hapo....
So kwa ushauri wangu nakushauri uende kwa kuroiler unapatikana wapi?
MNNdio mkuu hizo taarifa zina ukweli Bata wako Resistance kwa magonjwa mengi tofouti na kuku.... Katika fani yangu hii ya utabibu wa mifugo sijawahi attend any case inayohusiana na bata..... But kuna magonjwa mawili hatari sana incase yakivamia shamba lako nayo ni Duck viral hepatitis and Duck viral enteritis Thou ni rarely sana kuvamia shamba...
Kwa ushauri wangu wangu ukibahatika kuanzisha mradi wako make sure uwe na good management katika suala zima la mabanda na vyombo vya chakula na maji katika farm yako hiyo ya bata na pia ukumbuke kuwachanja bata wako dhidi ya hayo magonjwa hapo juu.... Kila la kheri mkuu
Mambo vip,ni check whatsapp kwenye no 0762283253 apo kwenye banda nitakusaidia (Ramani za mabanda ya kila aina ya mnyama afugwae pia yanapatikana).Habari, naomba kwa wazoefu ni ukubwa kiasi gani kitahitajika kwa ujenzi wa banda la kuku wa mayai wa kisasa 500, pia ningependa kujua vitu muhimu vya kuzingatia wakati wa ujenzi wa banda hilo na mwisho aina nzuri ya kuku wa mayai!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia unaweza wasafisha vodonda vyao kwa kutumia alovera,husaidia kukausha hivyo vidonda vyao.Just ni vyema kuwapa maji safi na salama yaliyochanganywa na vitamin na madini ili kuwezesha mwili wa hao kuku kufanya kazi vyema..... pia hakikisha suala zima la usafi katika banda , vyombo vya chakula na maji ni hayo tu mkuu
Pia mchunguze kwa makini huenda amejichomwa ni kitu chenye ncha kali,jaribu kumsafisha kwa maji moto mguu huo kama hauna tobo basi mtoboe kwa sindano kisha mpake spirit.huduma ya kwanza.inaweza kuwa tatizo la upungufu wa madini mkuu... jaribu kumjulisha bwana mifugo yoyote kwa ushauri mkuu
Jaribu pia kuwasafisha na mafuta ya taa husaidia kuondoa utitiri machoni mwa kuku.Mkuu pole kwa tatizo lako la kuku kuwa na utitiri hapo cha kufanya nunua dawa aina ya carbamate insecticide ambayo dukani hupatikana kwa jina la Sevin iko kwa form ya ungaunga wanyunyuzie mara mbili kila baada ya week 2 na tatizo lako litakuwa limekwisha mkuu.