BABU KIDUDE
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 1,587
- 918
UKITOKA MASAMVU UNAELEKEA UPANDE GANI PALE, DODOMA ROAD, IRINGA ROAD HAMA?
hapo sawa, sio kuficha bei mfukoniOk.bei yake kwa ekari moja ni sh 800,000Tshs.
hapo prefu kama dumila ushapitaKuhusu umbali sijui exactly.but toka msamvu mpaka shamba ni muda wa saa moja hivi na dk kadhaa.gari inafika mpaka shamba
lina maji? linauwezo wa kulimika mwaka mzima?Karibu sana