Single fathers and mothers njooni tujenge familia

Si kila mtu anaweza akawa single mother inahitaji mtu strong confidence akili timamu tunapitia mengi kusemwa kuonekana hatuna thamani lakini yote tunayapita na jinsi Mungu si athumani watoto wetu wana akili yaan all the blessing ni sisi.
Hicho ndio nanachomshukru Mungu kila siku, niko na kakijana ka miaka mitatu ila kichwani kako vizuri. Class hadi mwl wake ameshawaza mwakani aanze class one ila mimi nimekataa. I am happy with my family, if God wishes one day ntampata single dady mwenzangu wa kuendeleza maisha hahahah
 
Ila mimi sipendi hii sentensi, "Afadhali kuwa single mother kuliko hao mlionao huko mtaani wanaotoa mimba au walioolewa na ni wagumba!"

Sitaki kumtetea mtu lakini ifike mahali tukiri kuwa wengi wa hawa wazazi (wa kike na wa kiume) walikosea katika maisha yao. Sawa walifanya maamuzi ya kutozitoa mimba lakini isiwe sababu ya kumuona aliyetoa kuwa ana makosa. Nyote mlikosea kuzini kabla ya ndoa (wengi wanaotumia hiyo sentensi ni wale waliozaa nje ya ndoa).

Mimi ni Mkristo ninayeamini katika neema ya Mungu. Sote tumetenda makosa huko nyuma lakini siwezi kuja mentor mimi nikasema afadhali mimi huwa najeruhi, kuna wengine huwa wanaua. Haifanyi dhambi yangu kuwa afadhali. Besides, kuna waliozaa kwa kuwa tu dawa za kuzuia mimba ziligoma na hata alipojaribu kuitoa mimba ikagoma.

Ushauri wangu kwenu wadada (single mothers) - na hapa naongea na hawa waliozaa nje ya ndoa: Kuwa a single parent ni jukumu kubwa na linatosha kuonesha how strong you are...jamii nzima inajua hilo. Tuache kuwaponda wenngine ili kuonesha unafuu wenu.
Natamani mngeongelea jinsi ambavyo mnakiri mlikosea, mmejirekebisha na mmetulia kulea watoto wenu. Jamii kamwe haitaacha kuwasema hata mwisho wa dunia (mnakumbuka enzi za Yesu? aliletwa mwanamke aliyezini...mwanaume aliyezini naye hakuwepo).

So acheni kupigana hii vita ya kijamii. Jamii itaendelea siku zote kuwasema vibaya. Ila katika yote, "Ni kweli nilikosea huko nyuma, nilipogundua nimepata mimba nikaamua kuilea na kumlea mwanangu hadi hivi alivyo. lakini, baada ya kutenda kosa hilo nilibadilika, nilikuwa mwerevu zaidi, nilitubu na neema ya Mungu imenifanya kuwa kiumbe kipya. Na sasa nipo hivi nilivyo na mwanangu. Haijanifanya kuwa bora kuliko wengine. Ila imenifanya kuwa wa thamani kwa Mungu wangu. Nimeweza kusamehe na ku-move on."

La muhimu zaidi: nyie muwe chachu kwa mabinti wadogo kuwaelimisha jinsi gani isivyopendeza kujiingiza kwenye hayo mahusiano yasiyo na mbele wala nyuma. Jinsi gani isivyo na faida kufanya ngono zembe. Maana ukweli ni kwamba jamii itaendelea kuwasema leo 2017, 2018, 2020 hata 2055..." Wajiepushe na ngono na kwa kuwa kizazi hiki ndo vile tena basi wajiepushe na ngono zembe"

Huwa ninasema, ni kweli it takes two to tango lakini ilikishatokea la kutokea nyie dada zangu ndo mnaobaki na mzigo mkubwa. Ni wakati sasa kusimama na kuwa na maamuzi inapofika kwenye masuala ya ngono. Tumia kinga, ujue mzunguko wako sawasawa, yaani BE IN CONTROL of your sex life.

naumia sana jamii inavyowasema vibaya lakini kwa kuwa hatuwezi kubadili mtazamo wa jamii (ambao sio wa makosa pia) ni rahisi kuwaelimisha wadogo zenu wengine wasijedumbukia kwenye mzigo mliopo nyie.

Nimekutana na single mothers wengi na wanapenda sana ku-potray kuwa they are strong and prod etc etc (ni sawa) lakini hawawi wazi kuelezea changamoto na ku-discourage wengine wasiingie huko.

Mentor namalizia kwa kusema: Wadogo zangu na dada zangu wa kike ambao bado hamjajifungua...kwa mtini mjifunze. Angalieni jamii inavyowasema vibaya hawa dada zenu na muamue leo kuwa in control of your bodies! Usiruhusu mapenzi yakufunike macho. Utaachwa ukilia usiku kila siku.

Dah mentor naumia ila ndo nifanyaje sasa...
 
Guys habari zenu,natamani single parents tukutane hapa tuzungumze na tujengane na wengine waunge undugu waunganishe familia,single+single waweza get1 pair .

Sent from my Lenovo A5600 using JamiiForums mobile app

Ngoja mie nidondokee kwako Mpare, ubahili wenu unaweza tufanya tukakua kiuchumi. Nina watoto wawili
 
Point indeed without justification, look behind and see where you went wrong and just look where you are now and try to be kin without justification. Sin is sin no matter what!!!.
We all single parent but let us regret our bad historical sides which makes us to be single parents.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mentor umenena kweli.
Wakati tunapitia foolish age tukubali tu wadada zetu ndio waathirika wakubwa sana. Tambua kuwa kipindi hiki huwa hawashauriki lakini alama watakayokua nayo ni ya milele haifutiki. Hebu pitia mitaani sasa hivi. Wamama wengi wamezalishwa mtoto mmojammoja halafu wapo tuu nyumbani wanalea watoto zao peke yao baada ya kutelekezwa ndipo akili zimewakaa sawa na kuona kumbe ilikua anapitia foolish age na hawezi tena isahihisha ishatokea hivyo madhara yake ni ya kudumu na kwakuwa no way out ya kujisahihisha njia pekee iliyobakia ni kujitia moyo kuwa heri yake yeye alozalishwa na kutelekezwa kuliko wengine wanaotoa mimba.
Mi nahisi wajikubali tu na hali zao kwamba walibugi na maisha yaendelee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ni dhambi kuwa single mom au dad jamani mpaka MTU aone aibu!!

Sent from my Lenovo A5600 using JamiiForums mobile app
Kwa lugha nyepesi mngesema tu 'wasimbe' mkaeleweka upesi.
Nyie wasimbe hamna hadhi moja, kwa kuwa kuna wengine walibahatika kupata wenza, lakini wakazivunja ndoa zao kwa mikono yao wenyewe.
Leo hapa mnakuja na wimbo wa single mom/dad, why? Jitafakarini na mjitathimini kwanza kwa kuwa ma-single mna ma-group yasiyofanana.
Wazeekea majumbani hao ndiyo ma-single original.
Lakini ma-divorse wangeliji-group katika mjadala huu kwa kuwa hadhi yao ni tofauti kama nilivyoeleza hapo juu.
 
Uko sahihi, nakujua kosa ndio mwanzo wakutorudia kosa, kila mmoja ana sababu tofauti ilomfanya apate mtoto kabla ya ndoa na kwa kuchunguza nyendo zake inamuimarisha kuwa MTU mwingine kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom