Achana kabisa na hilo wazo, mtagombana na mzee wako. Biashara ya gari inaleta kutokuelewana wakati mwingine.
Akikosea utashindwa kumwambia ukweli.
Hili wanaliweza wachina, kama alivyosema jamaa hapo kabla. Kuna mchina mmoja kamwajiri baba yake kama mlinzi wa usiku.
Ila kwa sisi wa afrika...
Ukibahatika kuishi mpaka uzeeni unaweza ukaja kuona shida ya maamuzi yako ya leo.
Uzee na maradhi yatakusibu utahitaji uangalizi na upendo wakaribu kutoka kwa mtu wako.
Watoto wa ndugu yako si wako.
Usitegemee kupata msaada toka kwao inategemea sana maana ww kwao ni mtu baki.
Nasema haya maana...
Gwajima hana nidhamu hata kidogo yeye kama askofu huwezi kutoa kauli kama zile kwa askofu mwenzako hata kama amekosea.
Hata hawa wanaotaka kumuona IGP Wanapaswa kumshauri Gwajima kuomba radhi kwa kauli mbovu aliyotumia.
Nakushauri kiti kimoja. Mda wake wakulala ukifika we nenda chumbani omba game...ukimaliza nenda kaendelea na programs zako za tv. Hapo nadhani swala lausingizi litakuwa halina sababu. Ila wewe unaenda kulala saa 6 mwenzio amelala tangu saa nne. Usingizi umekolea alafu unakuja unataka gemu hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.