Mizengo Pinda anafaa kuwa rais wa nchi hii

Mizengo Pinda anafaa kuwa rais wa nchi hii

Hapana jamaa anaweza kufaa lakin nimemfuatilia kwa mda mferu ni mtu ambae anafata mawazo ya watu kutoa maamuzi yake hii itakuwa shidaaa baadae
 
Kiongozi wa kweli hawezi kuwa na tabia za kujitangaza kama mfanya biasara,na hiyo ni sifa kubwa sana ya Mizengo Pinda,hufanya vitu kiuzalendo zaidi.
kwa mfano leo hii huwezi kuongelea shule za kata Tanzania bila kumtaja mizengo pinda,Akiwa Waziri wa TAMISEMI ndio kipindi shule za kata zilianzishwa Tanzania,lakini hata siku moja hutomsikia Pinda akijisifu,nina hakika Vijana wengi hawajui hili na badala yake wanawapa watu sifa wasizostahili.
tafakari,chukua hatua.
 
kwakuwa 2015 tunahitaji kuongozwa na mkristo,nitamuunga mkono pinda.
 
na wewe naye unapigana kupandisha mto kuelekea mlimani!!
 
Pinda hauziki Mkuu,naona alichofaulu ni uadilifu tu Ila mengine yote zero mpk sura jinsi gani tutatundika picha zake kwenye kuta maofisini kwetu......ni shidaa.....halafu nasikia juzi alikuwa mwanza anaunda kikosi kazi chake kwa njia zile zile za wengine......mwisho na uadilifu pia tutaanza kuuhoji.
 
Naona ka-akaunti ka eskorow kameanza kuwafaidisha watu humu!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hivi mkitaka kutuma application kwa ajili ya kufanya hii kazi ya mafisadi, kuyaosha na kuyapa sifa nzuri huwanga mnafanyaje!. maana nimeipenda sana kazi yenu
 
Pinda hauziki Mkuu,naona alichofaulu ni uadilifu tu Ila mengine yote zero mpk sura jinsi gani tutatundika picha zake kwenye kuta maofisini kwetu......ni shidaa.....halafu nasikia juzi alikuwa mwanza anaunda kikosi kazi chake kwa njia zile zile za wengine......mwisho na uadilifu pia tutaanza kuuhoji.

Wanafunzi vyuo vikuu kuteseka mikopo yao
Wakulima kuuziwa mbolea ya ruzuku Kwa bei ya kutupa
Mamilioni ya ESCROW
Kutoaaa machozi mbele ya Hadhara Hii ndo tabu kabisa ataenda kutulilia huko nje Miguuni mwa mabepari kuomba misaada hana jipya katika kuiongoza Tanzania hata mbinu mmbadala Rukwa Ni mkoa unaongoza Kwa uzalishaji na Aridhi yenye rutuba ameshindwa kusimamia mazao yanaozea majumbani wakulima wenzie wanakufa na njaa, Hii Ni Aibu si Rais atufahaye hata kidogo.....
 
Mimi binafsi,ninayeamini siasa za ujamaa ,miiko ya uongozi na kujitegemea,huwezi kunishawishi nishindwe kumkubali PINDA. Any ways,haya yoye tunaongea tu,anaweza akatangaza nia au lah!

Coz nakumbuka majuz akti alisema,kwa yeyoye anayehongahonga wtu na kuupigania URAIS kwa nguvu na mateke, basi huyo anaenda kufanya biashara IKULU. Alionveza kuwa, "as for me,sioni chochoye #IKULU zaidi ya kazi ngumu na Mizengwe kedekede"".

Now,umaweza kumuona anamtazamo gani juu ya ikulu/urais. Yaani huko ni mikikimikiki tu. Na kimsingi,kama wewe ni mzalendo,ikulu au nafasi yoyote kubwa serikalini,ni mimikimikiki tu na ubize wa hari ya juu. Urqis sio tittle yakupigania.

Kina EL wameporomoka sana kibiashara . na juhudi kubwa wanazozifanya ni katika kwenda kusubsdise uchumi na biashara zao zilizoteteleka kutokana na kubanwa na Akina PINDA,MWAKYEMBE e.t.c.

Rejea kuparanguliwa kwa MANAGEMENT ya #BANDARI .

Muwe makini Watanzania.
 
Pinda hauziki Mkuu,naona alichofaulu ni uadilifu tu Ila mengine yote zero mpk sura jinsi gani tutatundika picha zake kwenye kuta maofisini kwetu......ni shidaa.....halafu nasikia juzi alikuwa mwanza anaunda kikosi kazi chake kwa njia zile zile za wengine......mwisho na uadilifu pia tutaanza kuuhoji.

Pinda ana uadifulifu gani? Anahodhi maeneo makubwa makubwa tena mengine yamepewa jina lake eti 'kwa Pinda'.
Kaifanya wilaya yake kuwa mkoa,ni mbinafsi.
Kauli yake ya 'mtapigwa tu' inadhihirisha kuwa akipata madaraka makubwa zaidi atakuwa dikteta aisiyejali.
 
Mimi binafsi,ninayeamini siasa za ujamaa ,miiko ya uongozi na kujitegemea,huwezi kunishawishi nishindwe kumkubali PINDA. Any ways,haya yoye tunaongea tu,anaweza akatangaza nia au lah!

Coz nakumbuka majuz akti alisema,kwa yeyoye anayehongahonga wtu na kuupigania URAIS kwa nguvu na mateke, basi huyo anaenda kufanya biashara IKULU. Alionveza kuwa, "as for me,sioni chochoye #IKULU zaidi ya kazi ngumu na Mizengwe kedekede"".

Now,umaweza kumuona anamtazamo gani juu ya ikulu/urais. Yaani huko ni mikikimikiki tu. Na kimsingi,kama wewe ni mzalendo,ikulu au nafasi yoyote kubwa serikalini,ni mimikimikiki tu na ubize wa hari ya juu. Urqis sio tittle yakupigania.

Kina EL wameporomoka sana kibiashara . na juhudi kubwa wanazozifanya ni katika kwenda kusubsdise uchumi na biashara zao zilizoteteleka kutokana na kubanwa na Akina PINDA,MWAKYEMBE e.t.c.

Rejea kuparanguliwa kwa MANAGEMENT ya #BANDARI .

Muwe makini Watanzania.

Pinda ni mwizi tu kama wezi wengine ndani ya CCM tena bora hao wenzie wamekwiba kwa muda mrefu,yeye utajili wake umetokana na uwaziri mkuu.
 
hahaaaa! hujasema utajiri alionao ni upi nawizi aloufanya ni upi. unatoa maelezo ya ushabiki kama bwana mmoja alivyoonya hapo juu.

KUHUSU MAENEO; Kwanza Katavi inamaeneo mengi na makubwa sana ambayo wawekezaji hawajayafanyia kazi. Wewe umeona maeneo ya Pinda tu,hujaona maeneo yanayomilikiwa na WASUKUMA na watu wengineo huko. Toa hoja na kuitetea mzee!! sio ushabiki tu.
 
Ana sifa za kutosha sana ambazo sitazitaja kwanza mpaka wale wenye damu ya ubishi na chuki waanze kumponda ndipo nitakapo tumia sabuni safi iliyotengenezwa na matendo safi na uoni wenye kuonyesha dira ya kumkomboa mtanzania na umasikini.

Mkuu umepotea sana. Hebu mwaga sifa za Huyu mtu watu Wamjue rais wao mtarajiwa atakuwaje.
 
Back
Top Bottom