Siku si nyingi utaivunja yote ila usisahau habari za overseas , nimeona jamaa wanajenga msingi miongo mitatu ijayo unaweza kamilika, ni heri kumiliki mninga kuliko mpapai
Kwa tusio na magari wala pikipiki binafsi, weka gharama za usafiri za siku, vocha, umeme, maji ,kodi ya nyumba na chakula ukijikuta uko chini ya dola tatu staafu🤣
Cha upole anapumzika mazima, ila aungukaye toka mtini aweza dakwa na tawi la mti, kisha na kusema wazee wameniomba, kuhusu braza kama ubwabwa utalika kama wasemavyo , itakuwa ni bahati ya mtende, asiye faa akifaa ajirekebishe pale alipokuwa anakosea, timu zote mbili ma captain wameenda Ila ile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.