Recent content by tchabi

  1. tchabi

    JamiiForums Tanzania Vibamia vimetokea wapi, mbona havikuwa maarufu siku za nyuma?

    Hamna! wanawake wa sikuizi wamekubuu tuu, limwanamke lishatembea na men kama buku hivi lazima awe Concord
  2. tchabi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Box gani latest lenye uwezo wa kuflash simu aina nyingi?

    Achana nayo Chukua nyingine
  3. tchabi

    JamiiForums Tanzania Unamhudumia wakati hujamuoa, Umerogwa??

    NINA UHAKIKA WANAUME WOTE HUMU MMESHAWAHI KUHONGA NA MNAENDELEA KUHONGA, HAPA MNAJISHAUA TU,, WANAUME WENGI KAMA SIO WOTE UTAWASIKIA MM SIHONGI LKN KIUKWELI NI WAHONGAJI WAZURI SANA,
  4. tchabi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania's cheap railway may be of poor quality

    $1.5 million Ww unaona ni ndogo sana, acha ganja
  5. tchabi

    JamiiForums Tanzania BASATA, Wimbo wa Diamond unahamasisha Kuzuia Kampeni Halali ya Kitaifa Afungiwe

    Mbona alishafanya DNA siku nyingi Sana ikathibitishwa mtoto ni wake,
  6. tchabi

    JamiiForums Tanzania Lipi kosa la Harmorapa? Kumpenda Wema Sepetu?

    Angenyamaza wengine wangesema Wema ameshamkubalia harmorapa, halafu kama Wema ana mpenz wake inawezekana huyu kamwambia wema mkatae harmorapa hadharan ili ajiridhishe kwamba hakuna mapenz kati yao
Back
Top Bottom