Recent content by tayasaritor

  1. T

    JamiiForums Tanzania iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Me iphone yangu iko locked na password, mtu akikosea password front cam inapiga picha na kutuma kwenye email yangu, akinajibu kuzima inafanya hivyo pia. So ikupita kwa mtu unayemfahamu, ni rahisi kuipata. Au hata kutoa matangazo ya picha za mwizi
  2. T

    JamiiForums Tanzania Laptop ipi Bora?

    Hp ni 2.5 Ghz. Sijui kama ni refurbished, maana iko kwa mtu alikua anaitumia. Nina uwezo wa kuichukua na kukaa nayo kwa muda, na kuichunguza, Samsung ina Windows 8, Rating inasoma 4.3
  3. T

    JamiiForums Tanzania Laptop ipi Bora?

    kuna Laptop 2 Samsung NP 300 EX5 4GB RAM 120 GB HDD AMD 1.5 GHz 15 inch HP 6460B 2GB RAM 320 HDD Core i5 15 inch HP iko juu ya Samsung kwa 50,000. Zote ni Used,ila Samsung imetumika zaidi. Ipi ni Bora? Kwa Kuzingatia Brand au Specs, Msaada pls
  4. T

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Mdau Ade no ya whatsapp uliyonipa imekua msaada mkubwa kwangu! Jamaa wako axtive n very kind! Ubarikiwe Sana
  5. T

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Ok thanx! Nilipata no za kwenye posters! Nimemaliza vifurushi kwakusikiliza music, simu hawapokei! Thanx mkuu
  6. T

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Mara ya pili nimelipa 20.000 taslim
  7. T

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Nimekuelewa kaka! Nililipa 15000 awali, same day nikaghairi na kuongeza 5000, hakuna kilichobadilika! Nilizoea Dstv, Azam hata no za Customer Care Sizifahamu, wana Page kwenye Facebook, admin amelala! Kama unaweza kubisaidia no mkuu nitashukuru! Asante kwa ufafanuzi
  8. T

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Nimelipa 20.000 Kuna Baadhi ya Channels sizipati, nikadhani haziko hewani, nikajuta kuna mtu anapata zote, kwangu zinaandika access denied, Kama Real Madrid Tv, Liverpool Tv, FX, Fox nk, Signal iko 64% kwa 60%. Kwenye channels hizo. Sijui Tatizo nini ndugus, msaada pls.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Clouds FM acheni Utoto

    Umewahi kusikia wimbo wowote wa WAGOSI WA KAYA Clouds? Hawapigi
  10. T

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Mieleka wanaonesha MBC Action
  11. T

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    OK thanks
  12. T

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Msaada wakuu! Nimefanikiwa kuingiza satellite na frequencies, zimeongezeka Channels kadhaa kwenye Azam "dikoda ". Hasa nilipenda kupata Rodriguez, imeingia, ila haina picha wala sauti! Nirekebishe nini ionekane? Natanguliza shukrani
  13. T

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Huu uzi umenielimisha Sana! Thanks wote mliochangia Na kuuliza hiki na kile, nimeongeza chanels. Ila Rodriguez haina picha wala sauti
  14. T

    JamiiForums Tanzania simu tecno F7 inanisumbua wadau!! nahitaji msaada wenu tafadhali!!

    Kurestore unaweza kupiga FACTORY DATA RESET, chagua ERASE EVERYTHING,
  15. T

    JamiiForums Tanzania simu tecno F7 inanisumbua wadau!! nahitaji msaada wenu tafadhali!!

    Haina nadhara, itafuta kila kitu na kurudi km imetoka kiwandani, kila kitu kitaanza moja,
Back
Top Bottom