Recent content by TAU 1

  1. TAU 1

    JamiiForums Tanzania Soma Hiki Kisa Halafu tutafakari "Tabia za Mume Wangu Zilinichosha"

    Wacha MUNGU aitwe MUNGU
  2. TAU 1

    JamiiForums Tanzania Floyd Mayweather, kutoka utajiri wa $ 1.2 Billion (Tshs Trilioni 3) mpaka kuwa somo la umuhimu wa nidhamu ya fedha. Madeni na kesi vyamwandama

    Black skin shall remain the same no matter what you earning, remember Mike Tyson?
  3. TAU 1

    JamiiForums Tanzania Wanawake mjichunguze harufu mbaya ukeni

    Wadada wengi sana halitambui hilo tatizo,mara nyingi hutokana na very serious fungal infection and chronic one,wanatakiwa kumuona Gynecologist ambae atachukua diagnostic swabs kuingiza kwenye uke na kufanya culture diagnostic ili apewe dawa itakayo maliza hilo tatizo ones and all
  4. TAU 1

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapata Daktari Bingwa wa kwanza wa Mfumo wa Chakula na Ini kwa Watoto

    Hongera sana Dr.Mumburi
  5. TAU 1

    JamiiForums Tanzania Utajisikiaje shemeji yako akimuita dada yako “Demu” mbele yako?

    Nawewe umeenda kufanya nini kwa Shemeji yako?
  6. TAU 1

    JamiiForums Tanzania Watu wanaanza kuzoea risasi. Tunakokwenda siyo kuzuri. Watawala kuweni wasikivu. Wasikilize wananchi ambao ndio waajiri wenu

    Hii si dalili nzuri kwa nchi yetu,MUNGU wetu atusaidie tusifike huko
  7. TAU 1

    JamiiForums Tanzania Watu wote mnaomuamini Mungu mje, nina swali kwenu 😢

    Kila kitu kinapotokea mbele ya uso wa MUNGU,kuna sababu ambazo yeye mwenyewe ana mamlaka nazo na anazijua anafanya kwa sababu gani,pengine wazazi au viapo na maagano ya kafara za mababu
  8. TAU 1

    JamiiForums Tanzania Mrejesho mwingine wa mke wangu, alirudi ila baadae aliondoka tena

    Katika vitu vya kijinga na ushamba mkubwa ulioufanya,kwanza kumnyaganya vitu ulivyo mnunulia kama nguo na simu, kwani huyo mkeo hajawahi Kuwa mwema Katika maisha yako hata kidogo?kuhusu mapenzi yenu na alicho kukosea uwamuzi wako pengine uko sahihi kabisa, pole sana Kaka
  9. TAU 1

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Utata Hotelini Zanzibar: Maswali Mazito Kuhusu Kifo cha Mrembo wa Marekani, Ashlee Jenae

    FBI wata unfold utata wote na ukweli utajulikana
  10. TAU 1

    JamiiForums Tanzania Mjukuu wa Rais Moi ashindwa kutoa matumizi ya mtoto afungwa jela

    Labda kupitia mmoja wa watoto wa nje,Gideon ni mmoja wa matajiri wakubwa sana Kenya na kumbuka alikuwa kipenzi cha Baba yake Mzee Daniel Moi
  11. TAU 1

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

    Mkuu kwanza kabisa Asante sana Kwa simulizi hii jadidi,ukweli huna deni
  12. TAU 1

    JamiiForums Tanzania Godoro kutoka mombasa kuja tanga

    Ziko mwembe tayari
  13. TAU 1

    JamiiForums Tanzania Poleni sana Familia ya Qorro, Wasomi na Walumbi wa Kiswahili kwa kumpoteza Profesa Martha Qorro

    May her great and beautiful Soul rest well
  14. TAU 1

    JamiiForums Tanzania Wapwa Msaada huu ni Ugonjwa unasababishwa na nini?

    Nafikiri itakuwa MPOX
Back
Top Bottom