Wanawake mjichunguze harufu mbaya ukeni

Wanawake mjichunguze harufu mbaya ukeni

Hello.

Dear Ladies.

Nahisi hili Tatizo wengi wenu hamjijui kwa sisi Tunaobahatika kutembea na wanawake tofauti tofauti kuna hadha moja wengi Tunayokutana nayo.

Harufu kali sehemu za siri.

Wanawake hii harufu ni ngumu kuelezea lakini kama mwanaume inaweza isiondoke hata siku 3 kichwani.

Tunaomba dada zetu hili suala mliangalie kwa undani zaidi madaktari wa wanawake wameongezeka nchini.
Wadada wengi sana halitambui hilo tatizo,mara nyingi hutokana na very serious fungal infection and chronic one,wanatakiwa kumuona Gynecologist ambae atachukua diagnostic swabs kuingiza kwenye uke na kufanya culture diagnostic ili apewe dawa itakayo maliza hilo tatizo ones and all
 
Punguza kuokota makurumbaza ya buguruni mkuu
 
Siku wanawake wakisema wakaze kuhusu vigezo basi wanaume wengi watakosa wapenzi wake!!!!!!
Asilimia kubwa ya wanaume miili Yao ni michafu.

1. Jasho
Unakutana na mwanaume ananuka kuanzia usoni mpka kwenye unyayo.
Halafu mwanaume huyu anataka alambwe lambwe na kumuweka mtoto wa watu ubavuni Ili harufu ya kwapa lake imuingie. Hapa wanaume wengi hujidanganya na pafyumu uchwara za kuluthumu.

2. Kinywa..
Kuna wanaume wanatema jamani zaidi ya choo cha stendi... Halafu huyu atataka deep kiss french kiss bila kujali hali halisi ya domo lake.
Na mwanamke asipotoa ushirikiano ataambiwa hajui kitu kumbe mtoto wa single Maza kashindwa kuvumilia shimo la choo kwenye mdomo wa binadamu.

3. Viungo vya uzazi.
Wanaume wengi hawajui kusafisha uume wao.
Mbloo haioshwi kwa ustadi,, ile mifereji pembeni ya mapaja haioshwi vizuri inaachwa miugando ya jasho na sabuni.
Kwenye makegeri sasa!!!!¡ Mamaaa unakuta mikegeli inanuka haioshwi ikatakata na ndo ukute pumbu erosion katulia zake humo pumbu Ina mabaka na ukulutu harafu jamaa anataka anyonywe na zile pumbu uzimungunye kama kibogoyo anavyokula pipi.

Yote hiyo inaambatana na uvundo na harufu ya boxer bm imbayo haijafuliwa kuanzia siku tatu mpaka wiki mbili. Hiyo kifuliwa ni mpka mvaaji huruma imuingie au apate penzi jipya!!!

Ma bro wa kike wavumilivu sana siku wakikaza zaidi!!!!!!! Watakaomiliki wanawake watakuwa wachache sana.
 
Tule mbwa nilimwambiq usipooga sikuto…i,akahisi ninamkejeli alivaa chupi yake na abaya kisha akenda zake mbagala sijui ndio kwao sikutaka hata kujali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom