Recent content by tatukiondo

  1. tatukiondo

    JamiiForums Tanzania Natafuta msichana wa kuzaa nae mtoto

    Haah mi nilikuwa tayar lakin utamchukua nimepata mateso mie mimba miez tisa mchezo jaman
  2. tatukiondo

    JamiiForums Tanzania Natafuta msichana wa kuzaa nae mtoto

    Mtt unamuitaji kivip je akishazaliwa unamchukua ndio maana yake
  3. tatukiondo

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kuingia kwenye ubia wa biashara

    Mada nzur nimejifunza kitu
  4. tatukiondo

    JamiiForums Tanzania Wadada, niulizeni kitu chochote kuhusiana na huduma za salon, hair & nails

    Naitaji mdoli wa kichwa chenye nywele za kujifunzia kusuka nakiitaji nisaidie
  5. tatukiondo

    JamiiForums Tanzania Nataka kufungua Stationery, naomba ushauri

    Kama ukiwa na nia kufanya unafanya bila matatizo bali changamoto cha biashara uwe na moyo wa kukabiliana nazo
  6. tatukiondo

    JamiiForums Tanzania Nataka kufungua Stationery, naomba ushauri

    Waweza kifungu kama umepata flem kwan sehemu hiyo ipo vizur wateja wapo wa kila aina co wanafunz pekee
  7. tatukiondo

    JamiiForums Tanzania Nataka kufungua Stationery, naomba ushauri

    Lakin pia waweza kuangalia maslai ya watu pamoja na shule baadhi ya ofic ziwepo itakuwa poa
  8. tatukiondo

    JamiiForums Tanzania Jichagulie fursa ya biashara na miradi hapa (Fursa 150)

    Mtaji co tatizo
Back
Top Bottom