Natafuta msichana wa kuzaa nae mtoto

Natafuta msichana wa kuzaa nae mtoto

Haah mi nilikuwa tayar lakin utamchukua nimepata mateso mie mimba miez tisa mchezo jaman
 
Mm ni mwanaume! Lkn suala la kuoa naona linapoteza mvuto kila kukicha! Nadhani ww utakuwa ni shaidi kama umeshajiunga ktk chama hicho!!
sijaingia ila hata mimi nakuogopa huko any way utapata wa kuzaa naye
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom