Power is of two kinds , one is obtained by the fear of punishment and the other by the acts of love . the power based on love is a thousand times more effective and permanent than the one derived from fear of punisment
MKUU uwe una picha zao kwenye cm yako na hilo folder ulifunge kabisa na password wife akiuliza unamwambia ni virus na wakitoka na cm inakufa ,hvy ukiwaona we ynauenda fasta unafungua folder lako una enjoy weeeeee then unaendelea
hata kama ila mama zetu akili zao zilikuwa vzr,nyie sasa mmeshachizika mna jeuri,dharau,kujivuna,si wa kweli na mnaangalia pesa tu hakuna mapenzi mnakera sana japo si wote ila asilimia kubwa na ndio maana siku hizi hamuolewi ni kuzalishwa tu we fuatila hata mtaani kwako kuna vibinti vingi...
spika asipoangalia hili bunge litamsumbua sana na linaweza kuwa bunge lake mwisho,kuna baadhi ya wabunge CCM hawafurahii hii hali hata kidogo,asipende kuegemea upande mmoja,hawa wabunge hawakujipeleka bungeni wenyewe kuna watu nyuma yao,hivyo dua za hao watu zitamfanya ashindwe kuongoza...
Uchguzi umekuwa danganya toto hakuna democracia wala uwazi ndio maana hata maendeleo nivigumu kuyafikia kwa sababu yakutumia mfumo wa aina moja kwa kipindi kirefu.:angry::angry:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.