Recent content by Tasy02

  1. Tasy02

    Ardhi, SUA na Muhimbili kipi chuo kigumu?

    Turudi katika uhalisia. Kinachoweka ugumu katika chuo ni nini ?
  2. Tasy02

    Natafuta mwalimu mzuri wa ngumi

    Awe maeneo ya kule Tegeta ndo naeza kwenda vizuri
  3. Tasy02

    ANIMATIONS

    Umesema ukweli. Nilitaka niulize vipi mtanzania anakuja na mifano ya template za wazungu ? Tungependa kuona mambo yetu ya kiafrika kwa kweli. Tuone vipilipili, barabara za vumbi, matumbili. . . anything signifying Africa
  4. Tasy02

    Ardhi, SUA na Muhimbili kipi chuo kigumu?

    Uko sahihi. Very true. Ila nitoe mfano, kwenye field ya neurosurgery, kuna msemo unasema "you need a perfect, hand-eye coordination"! Ndio maana Ben Carson akapewa the label "Gifted Hands". Kitabu na peni ni nzuri, ila mkono na macho pia ni standard nyingine!
  5. Tasy02

    Ardhi, SUA na Muhimbili kipi chuo kigumu?

    Ni kweli. Wanafunzi wengi tunafundishwa kutafuta ajira, sii kuajiriwa. Halafu mchezo wa kuendekeza maslahi ndiyo yanayoua competent students nchini. Serikali yetu ina kazi kunyoosha vyuo na college zote ili tupate wafanyakazi bora na walio competent. Tuiombee sana.
  6. Tasy02

    Ardhi, SUA na Muhimbili kipi chuo kigumu?

    Nakupinga mkuu. Chuo na shule havina usawa. Form six umepiga PCB ukafaulu kwa theory na practical za kuchanganya na kupasua chura. Ila chuo unaenda kufanya uhalisia, unakutana na kazi yenyewe. Kuchanganya Acid maabara form six, sio sawa na ku clerk mgonjwa hospitali. So kikubwa hapo ni kutegemea...
  7. Tasy02

    Ardhi, SUA na Muhimbili kipi chuo kigumu?

    That's true. Kuna chuo kinaitwa CITY COLLEGE kiko temeke kingne kiko Kigamboni. Ni majanga na wanafunzi wengi wanakilalamikia. Kwanza sio chuo, ni College. Huo ni mfano hai, ruhusa kukifatilia wana ndugu!
  8. Tasy02

    Hatimaye leo nimetua kwenye mikono ya binti wa kitanga

    Naamini mapenzi ya kweli hayategemei ngono. Ila nayo ni sehemu ya mapenzi. So kama utaoa, vema ujue na tabia zake pamoja na mapungufu yake. #ndoa_sio_uzinifu
  9. Tasy02

    Andika neno Illuminati lakini ukianzia mwisho kurudi nyuma. Uone kitakachokuja!

    Ok, why go through all that trouble to re direct us to the NSA and the White House ??? What's their motive ?
  10. Tasy02

    Illuminati na kifo cha Michael Jackson

    Soma upya uelewe. Mwalimu anapotunga mtihani pamoja na majibu ya kweli, anaweka na ya uongo. Akili yako itakufaulisha. Waza vizuri ndugu
  11. Tasy02

    Illuminati na kifo cha Michael Jackson

    Illuminati ina mwisho. Msijali
  12. Tasy02

    How to go from Girlfriend to Wife

    Hivi nikupende halafu ubadilike kweli unadhani kuna mapenzi tena hapo? Yes, upendo unashuka na hata kufa kabisa!
  13. Tasy02

    How to go from Girlfriend to Wife

    Mwanaume nae anapenda, kama ambavyo mwanamke anapoteza nguvu na muda, vivo hivyo kwa mwanaume. Hakuna anaependa kuoa mwanamke asiye na faida, ila nina imani kama amemwacha wa miaka sita kwaajili ya wa miezi sita, kaona mengi ya msingi. Na kawaida ya wanaume wengi, akikupenda akaona hauna...
  14. Tasy02

    Natafuta mwalimu mzuri wa ngumi

    Hahah
  15. Tasy02

    Wanaume wa dar kuchapwa makofi na mademu ni dalili mbaya sana hii

    Sijui huu mchezo wa kubatizana majina kama "wanaume wa Dar" na "wanaume wa mikoani" umechipukia wapi ! Ila kwa kifupi napenda kuamini kwamba sisi sote ni wanaume tuliozaliwa kwa njia moja. Hakuna mwanaume wa Dar wala wa mkoani, maadam sote ni watanzania. Ila huo mchezo sana sana unaonyesha ni...
Back
Top Bottom