How to go from Girlfriend to Wife

How to go from Girlfriend to Wife

Ndoa ni taasisi ya muhimu zaidi kuliko zote duniani, sema tu siku hizi inavamiwa sana!
Cc. Malikia Mimi
 
My singles, lets hear what these married folks have to say kwa kweli. Maana wengi wangetamani kuendeleza girfriend/boyfriend to wife/husband, lakini wengi mambo huenda ndivyo sivyo. Kuna watu unawaona wanaendana hadi raha lakini inakuwa hola! Nini kiweje? kuna formula au hakuna? Nini kinamuweka mtu 6 solid years kwenye u girlfriend/boyfriend then anakuja ingia mjengoni mtu mpya hata 6 months hajamaliza.

Yani unashuhudia mdada kaachwa solemba kwenye mataa na kipete chake kidoleni, mwingine ashafua sana majeans na kudeki kwa mkaka, amepika amepakua, mwingine kajibebesha mimba kamzalia jamaa lakini waapi! ila wanaume nyie nyie God is watching. Hivi kwani kama unamipango yako mingine why umkeep mtu kwa matumaini muda mrefu? Au wadada wengine ving'ang'anizi? Na wale wengine wasotea miaka sita ndo wanaingia huko lol!

Mnacheleweshwa na nini kwani jamani? Hayaaaa mje mshushe experience zenu na mawaidha hapa ili watu wasiimbe sana ule wimbo wa teeeenda miujiza Bwana teeendaa muuujiiizaaa usiache Mungu mwaka huu upiteee bila kuteeenda Muujizaa, it may help! Hamuwezi jua walioko kwenye hilo janga labda wakajikwamua.

Karibuni
 
Chagua kesho yako.
Uwe na mtu atakayefaa kuwepo kwenye kesho yako.
Fanyia kazi ndoto yako
Ni rahisi ukijua unataka ndoa ya namna gani.

Usiogope. Usijihisi hufai. Wachawi, wachafu, wavivu, waongo, wabaya, wazinzi, wapenda pesa, wajinga, maskini, jeuri wameolewa. Utapata anaye kutosha. Muhimu fanya bidii kuwa bora zaidi ya jana.
 
Nimesoma huu uzi roho yangu imeuma sana.

Niko kwenye rehabilitation na kwenye kurebuild tabia na mienendo yangu hasa kwenye mahusiano.

Natumaini nitafanikiwa.

Muda mwingine hata sijui wanaume tukoje, sijui tuna roho mbaya au nini!!!!.
Mungu akusaidie. Amina
 
Mwanaume nae anapenda, kama ambavyo mwanamke anapoteza nguvu na muda, vivo hivyo kwa mwanaume.
Hakuna anaependa kuoa mwanamke asiye na faida, ila nina imani kama amemwacha wa miaka sita kwaajili ya wa miezi sita, kaona mengi ya msingi.
Na kawaida ya wanaume wengi, akikupenda akaona hauna direction, hakuachi. Anakutumia kwanza mpaka atakaporidhika, atakuacha.
Na wanawake wengi hawajajua siri, wanaume wengi hawatafuti mke, wanatafuta "mama watoto"!
Think about it.

#wisdom_is_the_light
Mkuu, upendo wenu unaweza kushuka baada ya kutoona direction kwa mwanamke?
 
Hivi nikupende halafu ubadilike kweli unadhani kuna mapenzi tena hapo?
Yes, upendo unashuka na hata kufa kabisa!
Sasa ile tabia zenu za upendo kufa na muda mwingine mdada huyo huyo mnamrudia kwa magoti, hapo upendo unafufuka au ni nini?
 
Ulikua haufahamu? Learned Sister
Nyie wanaume uwa siwaelewi. Na hakuna kesi mbaya kama hizi za watu wanaopendana alafu wakagombana. Yan unaweza kuona hapa upendo hakuna kabisa lakini after sometimes wanarudiana tena. Unajua uwa nashangaa sana.
 
Inatiaga uchungu sana hii situation ila maranyingi wanawake wenyewe ndio wanaoharibu unakuta Bi mdada kajiachia kabisa kwa mshkaji hata kuulizia ulizia ili uone reaction yake ujue mapema km ana malengo na wewe.
Hapo unakuta Bi mdada kashawachomolea washkaji kibao waliokua na nia ya kumuoa
 
Inatiaga uchungu sana hii situation ila maranyingi wanawake wenyewe ndio wanaoharibu unakuta Bi mdada kajiachia kabisa kwa mshkaji hata kuulizia ulizia ili uone reaction yake ujue mapema km ana malengo na wewe.
Hapo unakuta Bi mdada kashawachomolea washkaji kibao waliokua na nia ya kumuoa
Hapo pa kuwachomolea washkaji wenye nia ya kuoa ndo pabaya. Mtu anabaki kungojea siku isiyo na jina kama kumsubiri masihi, mvua kibao zinakatika kumbe jamaa anamipango yake mingine
 
Back
Top Bottom