Recent content by Tasila

  1. T

    JamiiForums Tanzania Karibuni kwenye mkutano wa Injili

    ni kweli hawawezi kupiga taasis za fedha bila kuwapa featuring police
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ifike hiyo Siku maana wadada IFM Wamezidi sasa

    Panaitwa zizini! Wanaopiga mzigo maeneo ya town wakipata uchovu au kusinzia oficin wanaenda kuchagua wa kuchinja! Na wapo very submissive hawapigi hata vibuti.
  3. T

    JamiiForums Tanzania baby madaha kawa kama jini EATV fridaynight live nw

    She is approaching the davel kingdom kwanza anajiita Vampire!
  4. T

    JamiiForums Tanzania Awamu ya nne itakumbukwa daima!

    Ule muujuza wa masogange kupitisha kg150 za unga yaan ni sawa na mifuko 3 ya cement ktk Uwanja wa ndege wa kimataifa huku wana usalama na mbwa wao wakiwa around! Kazi nzuri kwa awamu ya 4
  5. T

    JamiiForums Tanzania Secret lover huyu mmhh!!

    Isidingo The Need
  6. T

    JamiiForums Tanzania Hapa ni wapi...panaitwaje?

    Kijijini kwenu kiburugwe!
  7. T

    JamiiForums Tanzania Sikujua,kumbe nilikuwa namsindikiza kila siku mpenzi wangu akalale kwa bwana wake

    Kweli ukistaajabu ya musa
  8. T

    JamiiForums Tanzania My X-girlfriend Anaomba nimsaidie wakati ana mume.

    Japo kutoa ni moyo ila kwa huyo utakuwa poyoyo
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimemfumania na mwanamke ndani kwake

    Tupa kulee! Is he the only fish in the river?
  10. T

    JamiiForums Tanzania waifu ananikaba...!!!!

    Mkuu ulikosea mwenyewe tangu mwanzo unajua sikuzote unavyokuja ndivyo mtu anavyokupokea: mtaishi kama kumbikumbi mpaka lini? There are time u need kuwa na friends and its a must sasakama anakuzuia hilo ni tatizo na kwakuwa haambiliki u have to make decisions as a man! U should meet friends and...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Fahamu kwanini limbwata huwekwa kwenye papuchi

    Ha ha ha! Wawawekeege tu si hamtaki kutulia! mnaruka ruka kama mwewe. Mkuu tunaisubiri ya sindano utuambie kesho.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Hebu fungukeni...

    Kwani mkuu una miaka mingapi?
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mtu anaefaa kua mke vs mtu unaempenda.

    Unaweza ukampenda mtu halafu asiwe na qualifications za wife material, halafu ikatokea ukameet na ambae hujampenda sana ila akaposses sifa za mke bora.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Nini chakusomaa baada ya kumaliza bachelor of law tofauti na law school

    Mwenzio nilimaliza LLB hiyo hiyo nikaenda jeshi sasahv napeta tu ni Leftnant nina nyota 2, ila kama unapenda kuwa lawyer nenda law school au kama utaweza piga post au masters ya political science utapata kazi za humanitarian ktk nchi nyingi za africa. Just follow ur heart dear.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi ni bandia...

    Mmh we nawe! Sema tu sizitaki mbichi hizi tutakuelewa sio mambo ya ufake na umbandia. Hujui we are in a modern age? We are not in the dark age no bushmen exists.
Back
Top Bottom