My X-girlfriend Anaomba nimsaidie wakati ana mume.

Brob

Member
May 12, 2013
92
16
Naweza kusema ni mpenzi wangu ambaye niliishi naye zaidi ya mwaka mmoja nyumbani kwangu kwa lugha nyingine alikua kama mke ila nilikua sijaenda kujitambulisha kwao.

Mkasa ulikua hv
Nilikutana naye akiwa anasoma chuo flani hv cha nursing nilimpenda kwani niliona anasifa zote za kuwa mke alinieleza matatizo yake na familia yake nami nikamuelewa sababu alikua anatoka familia ya kifugaji kama ninayo toka mm hvyo haikuniuwia vigumu kumuelewa aliniomba nimsaidie kwa kipindi ambacho amebakiza chuoni hapo sikufanya hiana kwani nilmpenda toka rohoni ukizingatia nilikua ndo nimeajiriwa tu so sikuwa na majukumu mengi zaidi ya kumsomesha mdogo wangu mmoja tu.

Baada ya kumaliza chuo alienda nyumbani kwao akaa kama wiki mbili akaniomba aje akae karibu na mm nimsaidie kushugulikia maswala ya ajira nilimkubalia akaja nyumbani kwangu ingawa mm nilikua sikai pale kulingana na nature ya kazi yangu so akawa anaishi na mdogo wangu.

Nilijitahidi kufight akawa amepata kazi katika hospital moja na mambo ndo yakaharibika kwani alikua wa tofauti kabisa ilifika siku moja nikamfumania na jamaa akijua mm niko porini lakini nilimsamehe kwa sababu nilikua nampenda na nikajua labda alizidiwa kutokana na mm kuwa porini kwa mda wa mwezi mmoja.

Kibaya zaidi nilivorudi tu kazini kamwambia rafiki yangu mm hanitaki kwani nimemtumia sms kwa kutumia line mpya nikimtuhumu yeye ni malaya.

Hata nilivorudi na kujishusha hakutaka kunielewa.
Basi ndo ukawa mwisho wa mapenzi yetu.

Ingawa mm mpaka leo hii sijapata mpenzi kwani nawaogopa wanawake yeye anaishi na mwanaume ambeye wamejariwa kupata mtoto wa kike.

Ila amekua akipata shida ndogondogo namsaidia kama my x
Sasa Leo kali kanipigia simu anadai kwao kunamatatizo nimsaidie laki tano atanirudishia mwisho wa mwezi Sasa nashindwa kumuelewa nilichomjibu nimemwambia nitakujibu lakini nikaona ni vyema niwashirikishe wadau mnipe hata mawazo.

Nawasilisha wakuu!
 
Kama ni mzoefu wa kudhurumiwa mpe lakini
ukiwa na uhakika huo. Unajua pesa ni ngumu
na kwa maelezo yako ni wazi anaweza asirudishe
 
Hatukatai matatizo ila mumewe akiwa anafanya kazi gan labda mpk akuombe wewe?juz tel her hayo ni majukumu ya mumewe hayakuhusu Eboo!.
 
Japo me mwanamke usimpe hiyo hela!!! kama ukiamua kumpa mwambie mshirikishe mumewe na amuweke wazi kuhusu uhusiano wenu ulivyokuwa mume akiridhia mpe..
 
Japo me mwanamke usimpe hiyo hela!!! kama ukiamua kumpa mwambie mshirikishe mumewe na amuweke wazi kuhusu uhusiano wenu ulivyokuwa mume akiridhia mpe..

Nashukuru
Labda nikupe ufafanuzi kidogo tu mume wake anajua vizur kuhusu uhusiano wetu na ndo aliuvuruga kwa kutuma sms za matusi akijidai ni mm kama umesoma vizur hata niliyemfumania ni huyo jamaa alionja akanogewa akaamua avuruge kabisa tinna_cute
 
Last edited by a moderator:
kwani wewe ulikuwa umewazaje?? Brob kumpa au kumnyima?

huyo keshakugeuza wewe boya wake ndio maana .

mkuu kama upo dar kesho ni week end kama utapata nafasi tembelea maeneo kadhaa ya jiji kuna omba omba kibao hakika ukiwatembezea 1000 kila utakayekutana naye hakika watakushukuru sana na mwenyezi mungu hata acha kukushushia baraka zake na ukapata zaidi ya hizo kuliko kumpa huyo NunGAYEMBE
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru
Labda nikupe ufafanuzi kidogo tu mume wake anajua vizur kuhusu uhusiano wetu na ndo aliuvuruga kwa kutuma sms za matusi akijidai ni mm kama umesoma vizur hata niliyemfumania ni huyo jamaa alionja akanogewa akaamua avuruge kabisa tinna_cute

ok,,, huyo mume anajua kama unampa hela????
 
Last edited by a moderator:
WAJINGA NDIO WALIWAO!!!!!!!!!!!!! Cha kuokota si cha kuiba, mwenye mali ni Jingaaaaaaaa kabisaaa! Hapana iko visuri kwa kichwa!!!!!!!!!!!
 
Hiyo hela kawape ombaomba wamejazana kibao barabarani na wengine vipofu wana matatizo kibao kuliko ya huyo boya.achana naye.msaada wako uliishia siku ile alipoamua kuachana na wewe. Usimpe hata sh tano
 
.
.
.
.
.
.
.
mtafutie elfu kumi then mtumie vocha ya elfu mbili,na mtumie elfu nane kwa njia ya mpesa,tigo pesa,airtel money or eazy pesa na maelekezo yafuatayo....
vocha atumie kuwajaribu watu wote ambao anahisi wanaweza kumwelewa na kumpa hizo laki tano
na hiyo elfu nane iwe ni nauli ya kumfata yoyote atakae jitokeza kumpa ili amfate.





pumb@v sana
 
ameshakujua upo weak atakupelekesha huyo.mwache na maisha yake.na hiyo hela haitorudishwa
 
Back
Top Bottom