Recent content by taru

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mume wangu kwa wiki mara moja tu, ndoa ina miezi miwili

    well said loh.....mlijuana kwa three yearz yamkini ulikubali weakness yake ya nn kumuanika hapa,mwisho wa siku atulizane c ndoa aliitaka
  2. T

    JamiiForums Tanzania Girlfriend wangu anaumwa ugonjwa wa kisukari na magonjwa mengine mengi

    mh ama kweli no true love nw dayz...kwa ugonjwa tu umemtenga je huko mbeleni.. chapa lapa huko yan inadhihirisha jinsi gan huna mapenzi ya dhati kwa mwenzio..hapo kakwambia je asingekwambia? kazi kweli kweli
  3. T

    JamiiForums Tanzania Siwezi kuoa kwa hali hii

    hahahahaha lol chupi za alarm duh
  4. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuzaa mtoto mwenye akili

    Tafiti inaonyesha asilimia kubwa ya mtoto anapozaliwa hupata IQ ya mama na sio baba...kasheshe kama ww ni kilaza itakuwa aisee
  5. T

    JamiiForums Tanzania Siwezi kuoa kwa hali hii

    inawezekana haswaa shetani akiamua lake....mbona watu povu linawatoka hasa mlio oa lol..mwenzenu katoa hisia zake kwa aliyoona u may take or leave it !!!
  6. T

    JamiiForums Tanzania Yamenikuta, msaada tafadhali

    umejuajee tized....hapo anakupimia kajiengua mapemaa mana yawezekana nyuma huko katendwa mbaya
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nimepata mpenzi juzi tu anataka mambo

    yan siamin nyinyi ndo wakwanza kumchuza mdada wa watu loh,badae oh wadada warahisi kweli...naona asilimia tisini na tisa mnamchuza tu.Mwisho wa siku dada uwe na msimamo mwenyewe na utumie akili yako ni hayo tu
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ikiwa unataka kuolewa haraka fanya yafuatayo

    hahahahah mbavu zanguuuuu kiru
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kuna raha gani kwa mwanaume kutoa bikra?

    hahahahahaha na anajifariji kweli
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mtu kuficha "last seen info" kwenye Whatsapp... Swali...

    true...huezi ona komoa ujikomoe...afu wakaka ndo tabia zao
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wiki hufui boxer

    hahahahahaha lol kikuuuu...he vdole havijakatika?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Wanaume tukumbuke unapopata mpenzi mpya kumbuka umevunja mahusiano ya mwingine

    dah too saaaad to baaaaaad.....hawa wanaume macho ya utosi yanawaponza sana,kuzunguka kama feni kishingo.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo

    well said lara1
  14. T

    JamiiForums Tanzania Buriani Barry Mwaga

    May his soul rest in peace
Back
Top Bottom