Recent content by TARIS

  1. T

    Tundu Lissu: Am told, People at the top aren't thinking and acting rationally anymore...

    hakua lenye nja lisilokuwa na mwisho, kumbuka hapa duniani sisi ni wapitaji tu, Mungu akuponyeshe haraka mweshimiwa Lissu
  2. T

    Maxence Melo: Pole sana Tundu Lissu, Mungu akuponye!

    Mungu akuponyeshe haraka na akukinge na wabaya wako wote ambao wanataka kuitoa roho yako mweshimiwa Lissu, roho ndio itiayo uzima mwili haufai kitu. Waliopanga kuutuo uhai wako wakamatwe na haki itendeke
  3. T

    Hongera Watanzania kwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura

    hapa shule ya nsingi mwongozo vijana ni wengi sana na wana hari ya hali ya juu japo baadhi ya mawakala wanazingua wengine hadi sasa hawajaanza hata kupiga kura
  4. T

    Kama UKAWA wangemsimamisha Slaa, leo CCM wangekuwa wanasherehekea ushindi

    Slaa kwa Lowasa asingepata kura hata 5% kwani Lowasa anakubalika kwa utendaji wake
  5. T

    Maneno mazito ya Lowasa!

    Lowasa ndiye Rais wa awamu ya 5 hilo halina ubishi angalia nguvu nyingi inayotumiwa na CCM lakini bado Lowasa anakibalika sana hilo halina ubishi pia anajiamini sana
  6. T

    'Maamuzi Magumu' na Tundu Lissu

    Kweli mmechanganyokiwa mwaka huu 25/10/2015 siku ya Lowasa day inaitwa TOROKA UJE
  7. T

    Kwanini CCM watumia nguvu kubwa kupambana na Makapi na Oil Chafu?

    Tunahitaji kiingozi atakaye ondoa umaskini Tanzania na si kiongozi wa kujinufaisha na rasilimali za watanzania CCM lazima watumie hiyo nguvu kubwa maana hali yao hadi sasa ni tete mwaka wa mabadiliko ndio huu 25/10/2015 TOROKA UJE LOWASA DAY
  8. T

    TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

    Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi
  9. T

    Over 710 people killed, 863 injured outside Mecca in Hajj crush

    ajali ya kawaida tu na si vinginevyo
  10. T

    Mwenezi wa CHADEMA Mkoa wa Dodoma na Mtwara wajiunga na CCM

    Usiseme Watanzania sema wewe umeamua ila mimi ni Mtanzania na nimeamua nitampigia kura Lowasa kuwa Rais wangu
  11. T

    CHADEMA waanza kuichezea rafu ACT- Wazalendo

    Mleta mada huna uhakika kuwa ni vijana wa Chadema au Ukawa, kama kweli picha zimechanwa inawezekana ikawa wana CCM, Wana Ukawa au wana ACT wenyewe ili isemekane CDM ama UKAWA ndio waliozichana ila mwisho wa taarifa za uongo kama zako ni leo sheria ya mitandao inaanza kazi kesho
  12. T

    Special thread: Kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA/UKAWA nchi nzima kuelekea 25 Oktoba, 2015

    Tunasubiri kuapishwa kwa Rais wetu Lowasa baada ya tarehe 25/10/2015 kiongozi mwenye mapenzi ya kweli na mpenda mabadiliko ya kweli
  13. T

    UCHAMBUZI: UKAWA epukeni kufanya makosa kama ya CCM wakati wa kampeni

    CCM wakienda njee ya mda vyombo vya dola kimya lakini vyama vingine ole wao
Back
Top Bottom