Hongera Watanzania kwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura

Nshatimiza haki yangu ya kikatiba sasa ni doria la kufa mtu kama sungusungu wa kinyantuzu
 
Hongera sana. Hapa Pugu Kajiungeni zoezi limeanza lakini taratibu sana. Watu ni wengi kuna vitu 12 lakini sioni vijana,wengi ni akina mama na wanaume watu wazima.
Wengi ni wala ngada tu hata vitambulisho hawana
 
Tayari na nilikua na wanywa viroba pamoja na malofa na wapmbavu wenzangu wa kutosha tuu..
 
Katoka vituo vingi nilivyotembelea leo kuanzia saa 10 usiku kwenye jimbo langu vijana wengi wamejitokeza.

Hii ni dalili njema kwa UKAWA kwa vile inaungwa mkono na vijana walio wengi ukizingatia 57% ya waliojiandikisha ni vijana.


Vijana gani 18-25 au 25-35 au 35-45

Unadhani Boda Boda tatizo lao ni Benki?
 
Ha ha ha nimefurahi sana vijana wamekomaa wazee anaingia mmoja vijana watano teh teh
 
hapa shule ya nsingi mwongozo vijana ni wengi sana na wana hari ya hali ya juu japo baadhi ya mawakala wanazingua wengine hadi sasa hawajaanza hata kupiga kura
 
Back
Top Bottom