Special thread: Kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA/UKAWA nchi nzima kuelekea 25 Oktoba, 2015

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,493
54,900
Habari wakuu,

Kampeni zimeshaanza na Wagombea Urais Wapo sehemu mbalimbali nchini wakinadi sera zao. Hivyo basi, nmeanzisha hii thread ili habari tuwe tunazipata kwa Urahisi kwakuwa, thread zinapostiwa nyingi hivyo ni bora tuwe tunazipata sehemu moja ili kujua nini kinaendelea.

Tupeane kinachoendelea Mikoani Kwa Mgombea wa UKAWA Edward Lowassa.

Asanteni sana.

==========
Kutoka Njombe: Mwendelezo wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Picha: Mgombea mwenza wa UKAWA Juma Duni Haji ahutubia wakazi wa Mtwara

Mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa kutoka Songea

Mapokezi ya Lowassa na UKAWA Sumbawanga - Tarehe 02 Septemba, 2015

Mji Wa Mpanda wazizima, Lowassa asimamisha shuguli za mji wote


Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA kutoka Katavi

Mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa kutoka Kigoma


Mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa kutoka Tabora


Yanayojiri: Mkutano wa Lowassa - Igunga

Mkutano wa Lowassa Nzega-Tabora

Picha: Mama akichanja mbuga nyumba kwa nyumba huku mumewe akiwanyima usingizi CCM

Updates: Mikutano ya Lowassa mkoa wa Dar Es Salaam - Tarehe 7 Sepember, 2015

Picha: Mgombea mwenza wa UKAWA Juma Duni Haji anguruma Tanga


Kutoka Dodoma: Ziara ya Mgombea Urais kwa tikeki ya CHADEMA, Edward Lowassa

Kutoka viwanja vya Barafu Dodoma kampeni za Urais kupitia UKAWA

Picha: Lowassa leo Kiomboi, Singida

Kutoka Shinyanga: Kampeni za mgombea Urais kwa Tiketi ya CHADEMA/UKAWA uwanja wa Lubaga Joshoni

Kutoka Morogoro: Mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa


Mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa kutoka Kigoma


Kutoka Shinyanga: Kampeni za mgombea Urais kwa Tiketi ya CHADEMA/UKAWA uwanja wa Lubaga


Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa


Yaliyojiri Muleba kwenye mkutano wa mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa


Alichokifanya Regina Lowassa pale Bukoba, huku mumewe akifunika Muleba


Mgombea Urais kwa Tiketi ya CHADEMA,Edward Lowassa atikisa wilaya ya Misenyi,Kagera


Kilichojiri ujio wa Edward Lowassa jimbo la Bukoba Mjini viwanja vya Gymkhana


Mikutano ya Mgombea Urais wa CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa, Dar es Salaam - Septemba 20,

Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, Lowassa uwanja wa Diesel, Newala-Septemba 21,


Yaliyojiri : Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA Lowassa, Masasi 22/09/2015


Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, Lowassa jimboni Mtama,Lindi - Septemba 23, 2015

Picha: Lowassa akiwa Katesh, jimbo la Hamang mkoa wa Manyara
[URL="https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/949353-mkutano-wa-edward-lowassa-arumeru-oktoba-8-2015-a.html"]
[URL="https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/948631-mikutano-ya-lowassa-%7Bngaramtoni-oldonyo-sambu-arumeru-longido-namanga%7D-oktoba-7-2015-a.html"]
Mikutano ya Lowassa {Ngaramtoni, Oldonyo Sambu, Arumeru, Longido,Namanga} Oktoba 7, 2015

[/URL][/URL][URL="https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/949353-mkutano-wa-edward-lowassa-arumeru-oktoba-8-2015-a.html"]
Mkutano wa Edward Lowassa Arumeru -Oktoba 8, 2015

[/URL]
Kutoka viwanja vya Sinoni-Arusha: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa
 
:mod: Tuliambiwa na magazeti na vyombo vya habari na redio kifua za JF kuwa magufuli aifunika Dar ila ni juzi tu nimeona Lowasa na UKAWA wameifunua Dar ,

Na sasa nionavyo kila anapopita Magufuli na genge lake akifunika Lowasa hupita taratibu wala hana hotuba za kutoa kipovu ,huufunua mji kisha huyo anaenda kwengine,

na pale Magufuli na gurupu lake wanapokatiza na kuteka miji ,mzee wa haki sawa kwa wote Lowasa anapita akipagomboa na inavyoelekea mwisho wake CCM na Magufuli wao lazima wataretreat kwani Lowasa keshakuwa hazuiliki tena anapita na kuifunua miji iliyofunikwa na kuikomboa miji iliyotekwa.
Aluta kontinua UKAWA viva Lowasa,
 
Vita hii si ya kufunika wala kuteka hii ni vita ya kuwafunua macho na kuona mwanga baada ya kufunikwa na kiza cha ccm kwa miaka 60 waTz na kuwakomboa kutoka kuwa mateka wa CCM na kuwa watu walio huru ndani ya nchi yao.
 
Vita hii si ya kufunika wala kuteka hii ni vita ya kuwafunua macho na kuona mwanga baada ya kufunikwa na kiza cha ccm kwa miaka 60 waTz na kuwakomboa kutoka kuwa mateka wa CCM na kuwa watu walio huru ndani ya nchi yao.
Ha ha haa, kila Magufuli akifunika UKAWA wanakuja wanafunua na kuacha wazi, Magufuli akifunga UKAWA wanafungua...ndio uzuri wa kuwa na funguo...mwisho wa kufuli ni funguo na mwisho wa pombe ni kaunta. Kaazi kweli kweli.
 
Mwanza tulishachonga funguo kubwa sana kwa ajili ya kufunua yanayofungwa na Makufuli.
 
Tunasubiri kuapishwa kwa Rais wetu Lowasa baada ya tarehe 25/10/2015 kiongozi mwenye mapenzi ya kweli na mpenda mabadiliko ya kweli
 
Nmeshaamua kuipa kura yangu UKAWA,kuanzia ubunge mpaka rais,nmeamua kuchukua uamuz huu,kwani ctaki kuendelea kulalamika,kila mara ,hata wakishinda CCM,moyo utakuwa mweupe kwani hata maisha yakiendelea magumu,moyo wangu utakuwa mweupe huku nikijua Ckuizurumu nafsi yangu,kwa kuipa kura,eeh Mungu nisaidie niendelee na msimamo huu wa kuichukia CCM maisha yangu yote.
 
Lowassa kipaumbele cha kwanza ni ELIMU cha pili ni ELIMU cha tatu ni ELIMU.

Hii chini ni ilani ya ukawa kipaumbele cha kwanza ni katiba mpya.

CNmVJpZWoAAn6wQ.jpg



Tunaibiwa mchana kweupeeeee!
 
si ndio nyie nyie mliosema UKAWA hawana ilani,sasa hii imetokea wapi tena?
 
Una maamuzi makini. Kwa upande wangu CCM hawatakiwi kuja na ahadi bali kuja na majibu ya miaka 50 kwanini bado nchi ni maskini. Kwanini mahospitali hayana dawa n.k na sio kutoa ahadi zilezile
 
Mwenzio tangu ahadi ya maisha bora kwa kila mtanzania ilipoyeyuka kwenye miaka 5 ya mwanzo ya awamu ya nne maisha yangu baada ya hapo ni ya raha japo ni ya kimasikini. Mabadiliko niliyaanza kitambo.
 
Mimi nilishafanya maamuzi tangu enzi za vituko la bunge la katiba.
 
Ninawashangaa sana hawa nyumbu wanaomtukana Dr Slaa eti hana ubavu mbele ya Lowassa mpaka kufikia hatua ya kumsahau mtu aliewajengea chama miaka yote na kuanza kummkumbatia mtu ambae hata jina la mke wake analisahau na mtu ambae hawezi kudumu dakika kumi jukwaani

Lowassa ni kam baiskeli ya miti tu ambayo inategemea mteremko kutembea, lakini ikifika kwenye mlima inabidi ipaki. Na Slaa ni bonge la pikipiki lenye horse power kubwa.

Tayari tumeishaanza kuona dalili za kuchoka kwa Lowassa, anashindwa kuhutubia majukwaani anatuambia twende kwenye website ambayo yeye mwenyewe haikumbuki.

Slaa sasa kaamua kurudi nyumbani, hapa sasa ndio mwisho wa chadema kwani hawawezi tena kupata mtu kama Slaa, kwa sababu Lowassa baada ya uchaguzi atapumzika kwani atakua kachoka mno na hataweza tena kuongea na watu.

Mungu Ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom