Recent content by tarawe

  1. T

    Compilation ya Wahenga tu: Kila mwenye picha ya Mhenga aiweke hapa

    Naombeni Picha ya mhenga aliyesema "Hapa kazi tu"
  2. T

    Mauaji yanayoendelea Kibiti, Pwani: Maoni, Ushauri na Mapendekezo ya nini kifanyike ili kuyatokomeza

    Serikali wazembe sana. 1. Walimuwezaje nduli alafu wanawashindwa wauwaji wa kibiti? 2. Waliwezaje Congo alafu wanashindwaje ya kibiti? 3. Waliwawezaje wale wa kule visiwan ( shelisheli) na wanawashindwaje wa kibiti? 4. Waliwezaje kuyazimisha ya Joyce banda na wanayashindwaje ya kibiti? Au ndo...
  3. T

    Msaada kwenye excel!

    Unaijua if formula?
  4. T

    Msaada kwenye excel!

    Tumia if formula. Iko pouwa
  5. T

    Tujifunze photography na retouching

    Mkitengeneza kakundi na miye niwe member. Nilishajifunza Kidogo hiyo Photoshop.
  6. T

    Sitarudia kuitetea tena CCM. Nimechoka

    CCM hakina wasafi, waliobaki wote makapi ndio maana mkulu kaanza kutizama nje ya chama chake ili apate wasafi.
  7. T

    UTEUZI: Rais Magufuli amteua Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro

    Wanajamvi, hii serikali ni ya Mseto? Maana sielewielewi.
  8. T

    Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

    Kibamia ni maumbile tu ya mtu sio kwa Sababu ya kuwahi kutailiwa. Mimi niliambiwa nilitailiwa wakati ninatambaa kwa Sababu ya mashambulio UTI. Leo hii Nina 30 something na niko pouwa kama wengine.
  9. T

    TLS chini ya Lissu kama kweli wanaitakia mema Tanzania waungane kuzima wizi wa Acacia

    Wa Tz buana. Tumeshanyamazishwa kuhusu fedha zetu za rambirambi. Ndo maana miye huwa nasema siasa ni sayansi.
  10. T

    N.Korea v/s U.S.A

    Jinsi ninavyoona marekani hamuwezi kim. Labda ajiandae upya kwa miaka 30 ijayo kwa hiyo technoloji ya kutuma tetemeko la aridhi au tsunami.
  11. T

    N.Korea v/s U.S.A

    Mmmmh! Kim alisema vita itapigwa u.s.a. Vilevile mnajua wiki hii trump alikuwa na mpango wa kukutana na bwana kim? Mnajua kama raisi wa s.korea kaomba kuurudisha uhusiano wake na n.k MNAJUA LEO BWANA KIM KAFANYA JARIBIO LINGINE NA LIMEFANIKIWA KWA 100%
  12. T

    N.Korea v/s U.S.A

    Naomba kuuliza tu, hivi wale wanajamvi walioshadadia kwamba marekani atampiga bwana KIM bado wanaendelea kushadadia?
  13. T

    VIDEO: Marekani yafanya maonesho ya Kijeshi nchini Korea Kusini

    Uwezo wako wa kujiongeza na kuchanganua mambo nadhani u mdogo.
  14. T

    VIDEO: Marekani yafanya maonesho ya Kijeshi nchini Korea Kusini

    Kama wanajamvi hawatakuelewa kwa ufafanuzi ulioutoa, basi watakuwa na mtindio wa ubongo.
  15. T

    Matokeo Hasi na Chanya kwa Afrika katika Vita vya America Vs Korea Kaskazini

    Tunashadadia kwa Sababu tunapenda kuona u.s.a itakavyopigwa na wazee wa juche( kataifa kadogo ) pasi na kuporomoshewa uchumi wao.
Back
Top Bottom