Sitarudia kuitetea tena CCM. Nimechoka

Sitarudia kuitetea tena CCM. Nimechoka

Wanabodi habari za jioni,Poleni sana na Majukumu

Awali ya yote naomba kudeclear interest, mimi ni CCM , Damu yangu ya kijani kibichi kabisa, mzalendo wa hali ya juu.

Najitokeza rasmi mbele yenu leo hii kuonesha hisia zangu kuhusu uteuzi wa Mh. Anna ambae ni Mwenyekiti na Chama cha upinzani.
Nimesikitika sana, nimenyong'onyea sana, nimejisikia vibaya mno.
Nimekuwa nikifanya vema kazi za chama changu cha CCM kwa ufanisi wa hali ya juu na uzalendo, nimekuwa nikipambana na kila anaejaribu kukashfu chama changu ama kiongozi wangu hasa Rais wetu Mtukufu , nimepambana pia muda mwingine kupindisha hata ukweli ili mradi tu chama kisipate kashfa yeyote. Nimefanya kazi hii kwenye mitandao yote ya kijamii, nimepambana vilivyo na mtu anaeitwa Mange Kimambi kwenye mtambo wa Instagram, hii yote ni kwa sababu ya kulinda chama ili chama nacho kinilinde.

Nimesikitika sana wazalendo wa chama tunaachwa, wanachukuliwa watu ambao hawajui machungu na mateso tuliyoyapata sisi wengine ambao muda mwingine tumepambana kupindisha ukweli ili walau tukumbukwe siku moja.
Nimejiuliza sana, huyu mama kipindi cha kampeni alinadi sera zake, sisi tulinadi pia sera zetu, leo hii anaenda kutekeleza ilani ya chama ipi?? Otherwise tunaomba viongozi wetu watuweke wazi kama hawa walikuwa mapacha wetu ama walikuwa sehemu ya mkakati wetu kudhoofisha wapinzani wetu kipindi hicho.
BTW,
Mimi ni mtu mwenye vyeti vyangu halali , sina waswasi wowote , nimeachwa , Mheshimiwa katika hili amenisikitisha sana, sasa naangalia utaratibu mwingine, vijana wenzangu wa upinzani nakuja mtaani naomba msinitenge, nimechoka kuitesa dhamira yangu.

Najiunga rasmi na nyie wazalendo wenzangu, naomba mnipokee .....

Wasalaam!!!!!!!
CCM hakina wasafi, waliobaki wote makapi ndio maana mkulu kaanza kutizama nje ya chama chake ili apate wasafi.
 
Pamoja na kwamba alikua upinzani lakini bado alikua anaikubali ccm. Nadhani suala ni kuwatumikia wananchi na kutekeleza ilani ya chama tawala. Hawez tekeleza ilani ya ACT. Unajua kuna wapinzani na wapingaji wa maendeleo. Huyu ni mpinzani. Lakini wale wapingaji laxima wataisoma namba
 
Ha ha haaa,kuna jamaa mmoja na yy hua anahangaika anatamani ateuliwe apate madaraka.hii itakua imemkata maini kbs
 
Pamoja na kwamba alikua upinzani lakini bado alikua anaikubali ccm. Nadhani suala ni kuwatumikia wananchi na kutekeleza ilani ya chama tawala. Hawez tekeleza ilani ya ACT. Unajua kuna wapinzani na wapingaji wa maendeleo. Huyu ni mpinzani. Lakini wale wapingaji laxima wataisoma namba
Vijana ccm wameisha?
 
Ukiwaamini sana wanasiasa wa Bongo (Walio wengi, ingawa si wote) unaweza kufa presha.
 
Wanabodi habari za jioni,Poleni sana na Majukumu

Awali ya yote naomba kudeclear interest, mimi ni CCM , Damu yangu ya kijani kibichi kabisa, mzalendo wa hali ya juu.

Najitokeza rasmi mbele yenu leo hii kuonesha hisia zangu kuhusu uteuzi wa Mh. Anna ambae ni Mwenyekiti na Chama cha upinzani.
Nimesikitika sana, nimenyong'onyea sana, nimejisikia vibaya mno.
Nimekuwa nikifanya vema kazi za chama changu cha CCM kwa ufanisi wa hali ya juu na uzalendo, nimekuwa nikipambana na kila anaejaribu kukashfu chama changu ama kiongozi wangu hasa Rais wetu Mtukufu , nimepambana pia muda mwingine kupindisha hata ukweli ili mradi tu chama kisipate kashfa yeyote. Nimefanya kazi hii kwenye mitandao yote ya kijamii, nimepambana vilivyo na mtu anaeitwa Mange Kimambi kwenye mtambo wa Instagram, hii yote ni kwa sababu ya kulinda chama ili chama nacho kinilinde.

Nimesikitika sana wazalendo wa chama tunaachwa, wanachukuliwa watu ambao hawajui machungu na mateso tuliyoyapata sisi wengine ambao muda mwingine tumepambana kupindisha ukweli ili walau tukumbukwe siku moja.
Nimejiuliza sana, huyu mama kipindi cha kampeni alinadi sera zake, sisi tulinadi pia sera zetu, leo hii anaenda kutekeleza ilani ya chama ipi?? Otherwise tunaomba viongozi wetu watuweke wazi kama hawa walikuwa mapacha wetu ama walikuwa sehemu ya mkakati wetu kudhoofisha wapinzani wetu kipindi hicho.
BTW,
Mimi ni mtu mwenye vyeti vyangu halali , sina waswasi wowote , nimeachwa , Mheshimiwa katika hili amenisikitisha sana, sasa naangalia utaratibu mwingine, vijana wenzangu wa upinzani nakuja mtaani naomba msinitenge, nimechoka kuitesa dhamira yangu.

Najiunga rasmi na nyie wazalendo wenzangu, naomba mnipokee .....

Wasalaam!!!!!!!
Hahah kumbe wewe ni wa kudeclear interest kwa kutetea uongo wa chama cha ccm basi ujue malipo yako lazima upate uongo ule ulioupanda. Ungesema unadeclare interest ningekuelewa kuliko kudeclear interest.
 
Kupindisha ukweli ndo kilichokuponza jarubu kuwa mkweli na siyo kuwa mnafiki utateuliwa tu
 
Hili ni funzo kwako kwamba unatakiwa uwe unatetea kitu kwa kuwa ni sahihi na sio kwa kujipendekeza ili uteuliwe.

Al'batwat,at batiati fil'mash
Hahahaha we Jamaa upo ?????
 
Wanabodi habari za jioni,Poleni sana na Majukumu

Awali ya yote naomba kudeclear interest, mimi ni CCM , Damu yangu ya kijani kibichi kabisa, mzalendo wa hali ya juu.

Najitokeza rasmi mbele yenu leo hii kuonesha hisia zangu kuhusu uteuzi wa Mh. Anna ambae ni Mwenyekiti na Chama cha upinzani.
Nimesikitika sana, nimenyong'onyea sana, nimejisikia vibaya mno.
Nimekuwa nikifanya vema kazi za chama changu cha CCM kwa ufanisi wa hali ya juu na uzalendo, nimekuwa nikipambana na kila anaejaribu kukashfu chama changu ama kiongozi wangu hasa Rais wetu Mtukufu , nimepambana pia muda mwingine kupindisha hata ukweli ili mradi tu chama kisipate kashfa yeyote. Nimefanya kazi hii kwenye mitandao yote ya kijamii, nimepambana vilivyo na mtu anaeitwa Mange Kimambi kwenye mtambo wa Instagram, hii yote ni kwa sababu ya kulinda chama ili chama nacho kinilinde.

Nimesikitika sana wazalendo wa chama tunaachwa, wanachukuliwa watu ambao hawajui machungu na mateso tuliyoyapata sisi wengine ambao muda mwingine tumepambana kupindisha ukweli ili walau tukumbukwe siku moja.
Nimejiuliza sana, huyu mama kipindi cha kampeni alinadi sera zake, sisi tulinadi pia sera zetu, leo hii anaenda kutekeleza ilani ya chama ipi?? Otherwise tunaomba viongozi wetu watuweke wazi kama hawa walikuwa mapacha wetu ama walikuwa sehemu ya mkakati wetu kudhoofisha wapinzani wetu kipindi hicho.
BTW,
Mimi ni mtu mwenye vyeti vyangu halali , sina waswasi wowote , nimeachwa , Mheshimiwa katika hili amenisikitisha sana, sasa naangalia utaratibu mwingine, vijana wenzangu wa upinzani nakuja mtaani naomba msinitenge, nimechoka kuitesa dhamira yangu.

Najiunga rasmi na nyie wazalendo wenzangu, naomba mnipokee .....

Wasalaam!!!!!!!
Chama cha ACT ni muumini wa Katiba ya Warioba. Walisema wakiingia Madarakani watafuta nafasi za DCs na RCs. Leo amepewa nafasi aliyotarajiwa kuifuta. Hongera Mamii.
 
Hahah kumbe wewe ni wa kudeclear interest kwa kutetea uongo wa chama cha ccm basi ujue malipo yako lazima upate uongo ule ulioupanda. Ungesema unadeclare interest ningekuelewa kuliko kudeclear interest.
Ila mkuu ulishaelewa nilichomaanisha, me sipo tena huko
 
Back
Top Bottom